Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
T.i.D.
T.i.D.
Performer
TID
TID
Performer
COMPOSITION & LYRICS
T.i.D.
T.i.D.
Songwriter
Khalid Salum Mohamed
Khalid Salum Mohamed
Songwriter

Lyrics

Jua kwamba wewe ndio wangu, baridi ya roho 'seisha na hamu
Sura yako dawa kwangu, raha za pungu' kando zangu
Mahaba yako ndio tiba yangu, nyota yako yang'ara kwangu
Hebu tathmini kisha nipe jibu, ivi kwanini hutaki kunijibu
Mitihani yote nimeshinda nadhani ni wakati
Penzi letu sisi liwe wazi roho yangu inauma
Maumivu sasa basi, sasa basi
Ni kwa thabiti nielewe, pesa sio mapenzi, pesa sio mapenzi
Kwa utenzi huu, nielewe baby, nakuhitaji mpenzi
Wewe nd'o faraja yangu, wewe nd'o faraja yangu
Faraja yangu, you are my baby
Jua kwamba wewe ndio wangu (nd'o wangu)
Baridi ya roho 'seisha na hamu (faraja yangu)
Sura yako (yako) dawa kwangu (kwangu mimi)
Raha za pungu' kando zangu (nd'o zangu)
Mahaba yako ndio tiba yangu (tiba yangu ti-)
Nyota yako (eh) yang'ara yangu (kwangu mimi)
Kama tamaduni zetu ni moja, twende nyumbani ukamsabahi mama
Tupate baraka za wazazi na uwajue ndugu zangu
Dini zetu isiwe kama hoja pingamizi sintozingoja
Niko tayari kukuvisha pete, uwe wangu
Kwa utenzi huu niamini (niamini)
Nielewe (nielewe) 'cause you're my baby (yeah, yeah)
You're, you're my lady
Njoo nyumbani, njoo nyumbani
You're my lady, njoo nyumbani
Unipe burudani, uliniamini
You're my lady njoo nyumbani
Unipe burudani, unione kama mimi yeah, yeah ya'
Jua kwamba wewe ndio wangu (nd'o wangu)
Baridi ya roho 'seisha na hamu (faraja yangu)
Sura yako (yako) dawa kwangu (kwangu mimi)
Raha za kungu kando zangu (nd'o zangu)
Mahaba yako ndio tiba yangu (tiba yangu ti-)
Nyota yako (eh) yang'ara yangu (kwangu mimi)
Jua kwamba wewe ndio wangu (nd'o wangu)
Baridi ya roho 'seisha na hamu (faraja yangu)
Sura yako (yako) dawa kwangu (kwangu mimi)
Raha za kungu kando zangu (nd'o zangu)
Mahaba yako ndio tiba yangu (tiba yangu ti-)
Nyota yako (eh) yang'ara yangu (kwangu mimi)
Written by: Khalid Salum Mohamed, T.i.D.
instagramSharePathic_arrow_out