Top Songs By Otile Brown
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Vocals
Otile Brown
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Otile Brown
Songwriter
Lyrics
[Intro]
Aisha, Aisha
Aisha
[Verse 1]
Mzuri kama kachorwa body kakupa Mola
I'm like my oh my
Macho yake yanavyong'aa just like a candle light
Lips zake zilivyo lowa akizing'ata, like my oh my
Ngozi yake inavyometameta kama shimaa
Hivi we unadhani, nakutamani
Ila, nipo interested zaidi ya vile unavyodhania
[Verse 2]
Can I be your company
Nina machache ya kukuambia
Wouwoo ah
Coz I need you in my life, I'm tryna find me a wife
And you look just like her type
You look like just my type
I swear this love is first sight
[PreChorus]
Coz you're such a beautiful woman
Woman, woman
Would you be my one and only woman
Woman, woman
[Chorus]
(Aisha) Param-param pampare
(Aisha) Param-param pampare
(Aisha) Param-param pampare
(Aisha) Parara, parara, pararara
(Aisha) Param-param pampare
(Aisha) Param-param pampare
(Aisha) Param-param pampare
(Aisha) Parara, parara, pararara
[Verse 3]
Mzuri kama kachorwa, kiuno kama dondora
I'm like my oh my
Na hivyo vimacho vyake ka gololi
Anavyovirembua
Her body shape like a cola
I go spend all my dollar
I'm tryna make you mine
Na hizo pozi zake ka mdoli anavyojishaua
Nishajaribu kupapasa
Dar es Salama, Nairobi hadi Mombasa
Sijamwona mpaka sasa
Wa kufanana huo mshepu sasa
[Verse 4]
Iyee! Maneno manung'uno na chuki
Eti mara kiuno amechongesha Uturuki
Huwajibu hukurupuki
Penzi lako ni asali na mi ndo nyuki
Kelele zao za chura
Hazininyimi tembo kunywa maji
Watasema mchana na usiku watalala
Umebarikiwa sura
Kwenye shindano la warembo acha nikupe taji
Kwanza bado kijana kifuani hapajalala
[PreChorus]
You're are such a beautiful woman
Woman, woman, woman
Could you be my one and only woman
Woman, woman, mwenzako
[Chorus]
(Aisha) Param-param pampare
(Aisha) Param-param pampare
(Aisha) Param-param pampare
(Aisha) Parara, parara, pararara
(Aisha) Param-param pampare
(Aisha) Param-param pampare
(Aisha) Param-param pampare
(Aisha) Parara, parara, pararara
Written by: Otile Brown