Top Songs By Mercy Masika
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mercy Masika
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mercy Masika, Timothy Boikwa
Songwriter
Lyrics
[Intro]
Ah, ah, ah
Oh ow, oh ow oh
[Verse 1]
"Hello, hello, habari yako?"
"Niko poa sana mimi, na bado niko"
Tunajibu "Ni poa" tukisalimiwa
Na ndani wengi wetu tunaumia
[Verse 2]
Picha mtandaoni, maisha bandia
Kwake Mungu hakuna kimejificha
[PreChorus]
Uko salama, kwake pekee yake
Mikononi mwake, usinyamaze, muite
Uko salama, kwake pekee yake
Mikononi mwake, usinyamaze, muite
[Chorus]
Muite Baba leo (Muite)
Muite Baba leo (Muite)
Muite, usinyamaze (Usinyamaze)
Muite Baba leo (Muite)
Akupenda wewe (Muite)
Akusikia leo (Muite)
Usinyamaze, muite
[Verse 3]
Simama, shika we, shika neno
Ita na ooh, Yesu atasikia
Mpe zote, shida zako, fikira
Aibu yote, yeye atatua
[PreChorus]
Uko salama, kwake pekee yake
Mikononi mwake, usinyamaze, muite
Uko salama, kwake pekee yake
Mikononi mwake, usinyamaze, muite
[Chorus]
Muite (Wachana na stress)
Muite (Usijinyonge wewe)
Muite, usinyamaze muite (Kwa shida zako we)
Muite (Aibu zako we)
Muite (Muite, we)
Muite usinyamaze, muite
[Verse 4]
Uko salama, kwake pekee yake
Mikononi mwake, usinyamaze, muite
[Chorus]
Muite (Itana we)
Muite (Ita Yesu we)
Muite, usinyamaze, muite
Atatua leo (Muite)
Shida zako leo (Muite)
Muite, usinyamaze muite
[Chorus]
Hasira zako, we (Muite)
Depression, shindwa (Muite)
Cancer ondoka! (Muite)
Usinyamaze, muite
Familia yako (Muite)
Katika jina la Yesu (Muite)
Oh, muite, usinyamaze muite
Written by: Mercy Masika, Mercy Masika, Timothy Boikwa