Top Songs By Angel Benard
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Angel Benard
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Angel Benard
Songwriter
Lyrics
[Intro]
Eeh
Bwana Yesuu
Nataka niseme na wewe
Mmh
Uuh, uuh
[Verse 1]
Usife moyo baba
Usife moyo mama
Nakuona mama unavtazama watoto waumia
Moyoni
[Verse 2]
Nakuona baba unashinda umelewa
Haueshimiwi nyumbani
Nakuona kijana umetafuta umechoka
Rudia tena na leo
[PreChorus]
Mwokozi ona yale wanayo pitia
Baba onaa
[Chorus]
Uwakumbukee (Uwakumbuke)
Wagojwa wale (Uwakumbuke)
Yatima Baba (Uwakumbuke Baba)
Wanandoa wale (Utukumbuke)
Kina mama wale (Utukumbuke)
Ona baba wale (Utukumbuke Babaa)
Ooh uwakumbuke
[Verse 3]
Mkono wako si mfupi usiokoe
Na sikio lako sio zito lisisikie
Bwana mkono wako si mfupi usiokoe
Na sikio lako sio zito lisisikie
[Verse 4]
Wewe mwanzo tena mwisho
Kwako hakunalo gumu
Tujapokua dhaifu
Bwana wewe ndiwe nguvu zetuu
[Chorus]
Uwakumbuke eeh (Uwakumbuke)
Kanisa lako (Uwakumbuke)
Taifa letu (Uwakumbuke Babaa)
Baba tunakutazama (Utukumbuke)
Ona watoto wale (Utukumbuke)
Barabarani Baba (Utukumbuke Babaa)
Ona aah, aah eeh
[Verse 5]
Unaweza Yesu eeh, eh
[Chorus]
Uuh, uuh, uuh, uuh (Uwakumbuke)
Wakumbuke watoto wale (Uwakumbuke)
Ona Baba wajane wale (Uwakumbuke Babaa)
Wewe ndiwe mume wao Baba (Utukumbuke)
Utukumbuke Babaa (Uwakumbuke)
Taifa letu na nchi yetu, serikali na viongozi (Utukumbuke eeh Baba!)
Uwakumbuke, Baba ah (Uwakumbuke)
Uwakumbuke, uwakumbuke Baba
Utukumbuke, utukumbuke
Utukumbuke Babaa
Written by: Angel Benard