Lyrics
[Verse 1]
Na mkisia nimeumwa
Nimelazwa nimekonda
Nimedead (Yale mapenzi)
Na mkisia ameumwa
Amelazwa amekonda
Amedead (Yale mapenzi)
[Verse 2]
Na msiulize kwangu amefata nini
Ni nyama kwa nyama maini
Nimezama kina mpaka chini
Na navyodeka sijui nitamwacha lini
[PreChorus]
Na pengine ye ndo anafanya niwe loyal
Mahaba yake (Yananichanganya)
Sitaki mwingine
Ye ashanitouch kwenye moyo
Midomo yake akinikisi mwaa
[Chorus]
Si anapendaga kiuno kanipa mama
Kanipa mama, kanipa mama
Na mi napenda shoo
Kampa baba, kampa baba
Kampa baba
Anachopendaga kanipa mama
Kanipa mama, kanipa mama
Na ninachonipendaga
Kampa baba, kampa baba
Kampa baba
[Verse 3]
Kinachofuata mchana tunakiwasha
Usiku tunazima taa
Yaani ta-ta-ta
Na mimi hapa nampa anachokitaka
Sindimba chakacha
Yaani ta-ta-ta
[Verse 4]
Aloo my baby mwenzako nyang'anyang'a
You know we ndo my sweet banana nana
Baishoo (I love you baby ooh na na na)
I am in love unanicontrol
[PreChorus]
Na pengine ye ndo anafanya niwe loyal
Mahaba yake (Yananichanganya)
Sitaki mwingine
Ye ashanitouch kwenye moyo
Midomo yake akinikisi mwaa
[Chorus]
Si anapendaga kiuno kanipa mama
Kanipa mama, kanipa mama
Na mi napenda shoo
Kampa baba, kampa baba
Kampa baba
Anachopendaga kanipa mama
Kanipa mama, kanipa mama
Na ninachonipendaga
Kampa baba, kampa baba
Kampa baba