Featured In

Lyrics

[Verse 1]
Mapenzi yamenibadilisha
Siku hizi sinaga ubabe
Nishakua guta, niache moyo wangu niyabebe baby
[Verse 2]
Mimi ni kuku wako
Ukitaka mayai niyatage sema
Na ukiona na ujinga, we nisitiri usinibwage
[Verse 3]
Sina matamanio nishavukaga huko
Sintoivua vazi la heshima, ulionivisha kwa upendo
Sina matarajip ya kuondoka kwako
Dunia imeshabadili wengi wakawa vituko
[Verse 4]
Mapenzi sio mchezo wa ngumi, nipige na khanga au ukuni
Hata ukinifinya finya haiumi, naona raha
Naisoma namba kwa kirumi, huu mchezo gani mbona wa kihuni
Hata ukinifinya-finya haiumi, aah naona raha
[Chorus]
Unanijaza upendo mpaka unatiririka (Tirriiririi)
Unanitiririka (Tirriiririi)
Tiriririii tiriririi (Tirriiririi)
Upendo unanitiririka mie (Tiririririi)
Tiririririi
[Verse 5]
Natiriririririi
Kama si diaba najaza ndoo
Raha nnazompa eti kama marhaba, nikimpa shikamoo
[Verse 6]
Haniachi njiani nafika, mi kwake yes sisemi no
Siwezagi kususa nisipomuona, wafukuta moyo
[Verse 7]
Asante angalau umenionesha maana ya upendo
Na sio kwa nahau, umenionesha kwa vitendo
Sitokaaga nisahau, nilinyanyasika hapo mwanzo
Niliyaoga madharau, kwa kumpenda asiojali upendo
[PreChorus]
Mapenzi sio mchezo wa ngumi, nipige na khanga au ukuni
Hata ukinifinya finya haiumi, naona raha
Naisoma namba kwa kirumi, huu mchezo gani mbona wa kihuni
Hata ukinifinya-finya haiumi, aah naona raha
[Chorus]
Unanijaza upendo mpaka unatiririka (Tirriiririi)
Unanitiririka (Tiririririi)
Tiriririii tiriririi (Tiririririi)
Upendo unanitiririka mie (Tiririririi)
Tiriririi
Written by: Yasin Shaban
instagramSharePathic_arrow_out