Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Lody Music
4-String Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Lody Music
Songwriter
Lyrics
My my my my my x 2
Mikono yangu ishazoea kukukumbatia na masikio yashazoeaga kukusikia
Akili yangu ishazoea kukufikiria chunga tu macho yangu hayajazoea kulia
Kwanza usiku silali bila kukuona Kwa macho
Pili chakula hakipiti sijakusikia mwenzako
Tatuu naendeshwa na mapenzi yote kwaajili Yako
NNE nitunzie Siri zangu NAMI nitunzie zako
Mahbuba penzi sio siti za daladala akishuka huyu mwengine kukaa
Usije ni cheat Kuna madhara tupendane kweli Kila dakika
Ooh ooh mahbuba oooh ooh my my my my
Kuna muda nakosea honey mi sio malaika mi sio malaika
Nisamehe mi sio malaika mi sio malaika unavonivuruga mi ndo nahangaika
Mi ndo nahangaika sijiwezii mi ndo nahangaika mi ndo nahangaika
Kwanza usiku silali bila kukuona Kwa macho
Pili chakula hakipiti sijakusikia mwenzako
Tatuu naendeshwa na mapenzi yote kwaajili Yako
NNE nitunzie Siri zangu NAMI nitunzie zako
Mahbuba penzi sio siti za daladala akishuka huyu mwengine kukaa
Usije ni cheat Kuna madhara tupendane kweli Kila dakika
Written by: Lody Music