Credits
PERFORMING ARTISTS
Burna Boy
Vocals
Diamond Platnumz
Vocals
Harmonize
Performer
PRODUCTION & ENGINEERING
Master Garzy
Producer
Lyrics
[Intro]
And you de make me sit down to sing de song, gala, gala
You can't de make me feel like I do you wrong, jala, jala
If you want time, I go give you more, jala, jala
Today, today, you go give me love, sawa, sawa
[Verse 1]
Eeh, eeh, nasifiwa kwa mapenzi na mademu
Wanapagawa mpaka wananiita, handsome
Burna Boy chota kila sehemu
Wanapagawa mpaka wananiita, handsome
[Verse 2]
Nasifiwa kwa mapenzi na madem
Wanapagawa mpaka wananiita, handsome
Konde Boy chota kila sehemu
Wanapagawa mpaka wananiita
[Verse 3]
Hadi Kaburu kwa Mandela
Rudi kwa bibi Kinondoni
Amber Lulu kunja dera
Mwanangu Gigi simuoni aje
[Chorus]
Kainama, mama
Kainuka, baby, show dem
Kainama
Kashika ukuta, waonyeshe ulivyofunzwa
[Chorus]
Kainama, go down, baby
Kainuka, give it to them, baby
Kainama
Kashika ukuta, Ruksa kutunza
[Verse 4]
Sio sura sio shepu, mie nikumuona taabani
Hivi Sinura Sepetu ama nimwite jina gani
[Verse 5]
Baby girl, your body killer
Mwendo kama katapila
Miguu ya pombe tequila
She de burst my mind
[Verse 6]
Bamutu bakongo Kabila
Madongo Lunyamila
And she so sweet vanila
She de burst my mind
[Verse 7]
Nobody sexy like my baby
Tena mwepesi akiwa kwa bed
[PreChorus]
Hadi Kaburu kwa Mandela
Rudi kwa bibi Kinondoni
Amber Lulu kunja dera
Mwanangu Gigi simuoni aje
[Chorus]
Kainama, mama
Kainuka, baby, show dem
Kainama
Kashika ukuta, waonyeshe ulivyo funzwa
[Chorus]
Kainama, go down, baby
Kainuka, give it to them, baby
Kainama
Kashika ukuta, Ruksa kutunza
[Verse 8]
Oya Goddam mtoto nyau pori
Ana vimacho mlegezo gololi
Katika gemu funga tuu goli
Hatumalizagi mchezo kama igoli
[Refrain]
Kilima, kilimaa (Napanda kilima)
Baby Kilima
Kisima kisima (Mama kisima)
Naingia kisima
[Verse 9]
Nizame mpaka chini
Haibo, yani katoto kachafu kama bata
Ah-ah, nami nakafanya ndafu nakakata
[Verse 10]
Salamu ziende kwa Wanjala
Don Masha kitasa kwenye bunyero
Waambie Simba kachalala
Anataka msambwanda kwa buku jelo, aje
[Chorus]
Kainama, mama
Kainuka, baby, show dem
Kainama
Kashika ukuta, waonyeshe ulivyo funzwa
[Chorus]
Kainama, go down, baby
Kainuka, give it to them, baby
Kainama
Kashika ukuta, Ruksa kutunza
[Verse 11]
Eh-eh, nasifiwa kwa mapenzi na mademu
Wanapagawa mpaka wananiita, handsome
Burna Boy chota kila sehemu
Wanapagawa mpaka wananiita, handsome
[Verse 12]
Nasifikia kwa mapenzi na madem
Wanapagawa mpaka wananiita, handsome
Simba mabishoo huniita shem
Vile madem zao nawapita, handsome
Written by: Burna Boy, Diamond Platnumz, Harmonize