Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rajabu Ibrahim Abdulkahali
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kimambo
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?
Hivi nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?
[PreChorus]
Nikimwona analewa, namuelewa
Anajiona kachelewa, age go
Na bado hajapewa
Viuno alivyopewa
Anajiona kachelewa, age go
[Chorus]
Nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?
Hivi nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?
Never!
[Refrain]
Vanamahako, twende kwalidu kula
Nikatamwa, nguyopa chalidu chila
Vanamahako, twende kwalidu kula
Nikatamwa, nguyopa chalidu chila
Vanamahako, twende kwalidu kula
Nikatamwa, nguyopa chalidu chila
Vanamahako, twende kwalidu kula
[Verse 2]
Ibiza, Miami, mbali hajapelekwa hata Zanzibari
Hapo Kizimkazi aka enjoy low budget Dubai hatoboi
Anasikitisha X, kama embe la mti wa porini
Anajipitisha X, amekosa wa kumuweka mjini
[Chorus]
Nikimwona analewa, namuelewa
Anajiona kachelewa, age go
Na bado hajapewa
Viuno alivyopewa
Anajiona kachelewa, age go
[Chorus]
Nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?
Hivi nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?
Never!
[Refrain]
Vanamahako, twende kwalidu kula
Nikatamwa, nguyopa chalidu chila
Vanamahako, twende kwalidu kula
Nikatamwa, nguyopa chalidu chila
Vanamahako, twende kwalidu kula
Nikatamwa, nguyopa chalidu chila
Vanamahako, twende kwalidu kula
Written by: Rajabu Ibrahim Abdulkahali