Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Performer
Misso Missondo
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Raymond Shaban Mwakyusa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Sound Boy
Producer
Lyrics
[Intro]
We misso missondo
Umepigaje hapo
Hatukupenda kua single
Hatukupenda kulewa kila siku
Hatukupenda watuite malaya
Hatukupenda ila ilitokea tulipigwa na kitu kizito
[Chorus]
Kitu kizito, kitu kizito
Kitu kizito
Hata kama unapendwa acha kuringa
Kisa kakuposti umeshaanza kuvimba
Mapenzi yana wiki tu umesha beba na mimba
Kuna kitu kizito, kitu kizito
Utapigwa na kitu kizito, kitu kizito
[Bridge]
Misso missondo una hatari ntakupa dada
[Chorus]
Tumetoka mbali
Tumemfata DJ
Tumetoka mbali sana
Tumemfata DJ
Tumetoka mbali
Tumemfata DJ
Tumetoka mbali sana
Tumemfata na chui
[Verse 1]
Wewe! We una hatari
We! We una hatari wewe
We! We una hatari
We! We una hatari wewe
Ai mama!
We DJ
Ai mama!
We DJ
[Verse 2]
(Ona toto ilo) Ni wewe tu
(Sijui unafeli wapi?) Ni wewe tu
(Akigeuka ndo balaa!) Ni wewe tu
(Baaria unakwama wapi?) Ni wewe tu
[Refrain]
(Haunogi) Huu mziki bila kulewa
(Haunogi) Huu mziki bila mademu jamani
(Haunogi) Huu mziki bila kumoka
(Haunogi) Haya masela waonyeshe tunachezaje hapo
[Bridge]
Digi, digi, digi, digi, digi, dindi
Dugu, dugu, dugu, dugu, dugu, dundu
Digi, digi, digi, digi, digi, dindi
Dugu, dugu, dugu, dugu, dugu, dundu
Digi, digi, digi, digi, digi, dindi
Dugu, dugu, dugu, dugu, dugu, dundu
[Bridge]
We misso missondo umepigaje hapoo?
[Bridge]
We misso missondo
We misso missondo
We, we, we
Umepigaje hapoo?
[Verse 3]
Uchawi upo jamani, uchawi upo
Hivi ilikuaje mikanasa kwa kile kituko
Penzi lilikua na gundu lenye misukosuko
Kwanza ananuka shombo mwana izaya akwende uko
[Outro]
(Ila huyu wasasa jama) Mpeni maua yake
(Anajua kuni petipeti) Mpeni maua yake
(Ila huyu wasasa jama) Mpeni maua yake
(Anajua kuni honga honga) Mpeni maua yake
Written by: Raymond Shaban Mwakyusa