Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ommy Dimpoz
Ommy Dimpoz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ommy Dimpoz
Ommy Dimpoz
Songwriter

Lyrics

Tupogo, bado tupo (Pozi kwa pozi), tupogo, bado tupo
Tunachopata ni chetu me na yeye tu, kiwe kidogo kikubwa ni majaliwa, hata kama kidogo kikubwa ni majaliwa
Ila mimi naye (Tupogo), aanh (Bado tupo), nasema mimi na yeye (Tupogo), aanh (Bado tupo), na bado niko nae (Tupogo), aanh (Bado tupo)
Mbona bado niko nae (Aanha), mpaka sasa nadunda nae (Aanha), ndo yule wa nai nai na baadaye (Aanha)
Walisema sitadumu nae (Aanha), ona vichwa chini wamenuna (Aanha), ya kwetu mbele yao wao yamebumaa (Aanha)
Tunachopata ni chetu me na yeye tu, kiwe kidogo kikubwa ni majaliwa, hata kama kidogo kikubwa ni majaliwa
Ila mimi naye (Tupogo), aanh (Bado tupo), nasema mimi na yeye (Tupogo), aanh (Bado tupo), na bado niko nae (Tupogo), aanh (Bado tupo), mbona mi ninaye (Tupogo), aanh (Bado tupo)
Mama ee beshinae beshinao (Tupogo), papaa ee beshinae beshinao (Bado tupo)
Aah Dimpoz, J Martins, see how we're sweet like tomat, ah Dimpoz, J Martins, see how we're sweet like tomato
See anyhwhere we there so we do raga-raga-raga rerere, ah anywhere we enter, so we do raga-raga-raga rerere
Tunachopata ni chetu me na yeye tu, kiwe kidogo kikubwa ni majaliwa, hata kama kidogo kikubwa ni majaliwa
Ila mimi naye (Tupogo), aanh (Bado tupo), nasema mimi na yeye (Tupogo), aanh (Bado tupo), na bado niko nae (Tupogo), aanh (Bado tupo), mbona mi ninaye (Tupogo), aanh (Bado tupo)
Written by: Ommy Dimpoz
instagramSharePathic_arrow_out