Lyrics

Kigoma ah eh, Kigoma we, ah (Tunayo furaha), leka dutigite
Tunayo furaha kuwa wazawa Kigoma
Leka dutigite wishala mwineke
Tunayo furaha kuwa wazawa Kigoma
Leka dutigite, wishala mwineke
K, K, K, K-Town, Kasulu ndio baba alipozaliwa
Oh, japo nipo Dar, naupenda mkoa wangu
K, K, Kigoma, kama vipaji tumejaliwa
Kaseja na Lunya fahari mkoa wangu
Amawesele hivilibwani vikulava kadwumba (Pozi kwa Pozi)
Kigoma mkoa wangu, ndio fahari yangu
Ardhi yenye rutuba ya kustawisha chelewa
Gombe na mahali wenye sokwe wasiolewa
Kigoma inapendeza sana, twashukuru hivi ndivyo ninavyosema
Nina furaha (Mbuga zetu), nina furaha (Makumbusho yetu)
Nina furahi, hey, nina furaha
Kigoma ah eh, Kigoma we, ah (Kigoma) leka dutigite wishala mwineke
Kigoma ah eh, Kigoma we, ah (Kigoma) leka dutigite wishala mwineke
Kigoma ndipo nilipotkaa, nimekuja Dar kutafutaaa
Siku zote nitawakumbukaa, najivunia na sitajuta
(Nakumbuka) Nakumbuka mama alisema
(Nakumbuka) M'kata kwao mtumwa
Kigoma inatamba Tanganyika inabamba
Tufurahi, tusherekere pamoja
Twajivunia Kigoma
Tunamshukuru maulana
Kigoma lango la Tanzania, bandari kwa kahawa shaba kwa matania
Amani kwa wazawa Kasulu, Kibondo, Ubunza (Avandu bakundi vikogwa)
Ziwa refu tunalo (Ah hoo ha), na madini tunayo (Ah hoo ha)
Tuna mbuga za wanyama kama Gombe na Mahale
Ardhi safi tunayo (Ah hoo ha), na vipaji tunavyo (Ah hoo ha)
Sauti safi tena tamu-tamu, tamu-tamu
Vigelegele na mushamu-shamu, shamu-shamu
Kigoma yetu mambo bam-bam, bam-bam
Meli ya Lyemba, wanasiasa Mashujaa, watetezi wa Taifa
Kigoma tunatoke wote master, yeah
Ms. Tanzania K-Iynn, yeah, Kaseba champion, yeah
Leka dutigite, wishala mwineke
Tunayo furaha kuwa wazawa Kigoma
Leka dutigite wishala mwineke
Kigoma ah eh, Kigoma we, ah, leka dutigite, wishala mwineke
Kule kwetu migebuka, ah, Wese na ugali wa muhogo, aga wa muhogo
Ndio vimenifanya nikawa Diamond
Kwa vitenge na mashuka, ah, mise na chomvi kidogo
Aga kidogo, na tena mbuga nikawa mfalme
Tena Kigoma ya sasa sio kama ya zamani
Kigoma ya leo imesonga mbele
Kuzebazeba ya sasa sio kama ya zamani
Kasulu ya Leo, hii
Amani na upendo ndio lugha ya Kigoma
Kigoma, haijagoma, Kigoma, yaende mbele
Rangi yako ya kijani, upepo wako ni mwanana
Kigoma, nakupenda, Kigoma, unanipenda
Amani itawale (Kigoma), Amani itimie (Kigoma)
Amani mlinda (Kigoma), Shigoma, Kigoma
Amani itawale (Kigoma), Amani itimie (Kigoma)
Amani mlinda (Kigoma), Shigoma, Kigoma
Kigoma, shukrani Kigoma
Kigoma, nyumbani Kigoma
Tunayo furaha kuwa wazawa Kigoma
Leka dutigite wishala mwineke
Tunayo furaha kuwa wazawa Kigoma
Leka dutigite, wishala mwineke
Kigoma ah eh, Kigoma we, ah, leka dutigite, wishala mwineke
Kigoma ah eh, Kigoma we, ah, leka dutigite, wishala mwineke
Kigoma ah eh, Kigoma we, ah, leka dutigite, wishala mwineke
Kigoma ah eh, Kigoma we, ah, leka dutigite, wishala mwineke
Kigoma ah eh, Kigoma we, ah, leka dutigite, wishala mwineke
Written by: KIGOMA ALLSTARS
instagramSharePathic_arrow_out