Top Songs By Jux
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Jux
Performer
Jay Melody
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jux
Songwriter
Juma Mkambala
Composer
Raymond Boniface Maziku
Composer
Salmin Kasimu Maengo
Composer
Sharif Said Juma
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Kama kuniita
Niite nitaitika
Niwe Kinondoni
Mwananyamara Tandika
[Verse 2]
Ata kwa miguu baby
Mie haraka nitafikaa
Mwenzako nikikuona
Moyo wangu unapwita
[PreChorus]
Ah wu, wu, wu, wu wuuu
Niite kwako tunywe bia (Aah)
Kwa maana ukijifanya unioni
Mie mwenzako nitaumia (Aah)
Wu, wu, wu, wu wuuu
Niite kwako tunywe bia (Aah)
Natukae mpaka morning
Nakutania tania (Aah)
[Chorus]
Na nikuambie ukweli tu
I-I-I need you
Baby nikuambie ukweli tu
I-I-I need you
Ah nanikuambie ukweli tu
I-I-I need you
Baby nikuambie ukweli tu
I-I-I need you
[Verse 3]
Kuhusu mapenzii
Nimeshakuwa sisikii
Nimeshakuwa kisikii
Na hata kung'oka mkitaka sing'okii
[Verse 4]
Ukweli siwezii
Kwenye hii dunia kuishii
Bila ya penzi lako
Mwenzako nitakufa nitazikwa mazishii
[PreChorus]
Uh wu, wu, wu, wu wuuu
Niite kwako tunywe bia (Aah)
Kwa maana ukijifanya unioni
Mie mwenzako nitaumia (Aah)
Wu, wu, wu, wu wuuu
Niite kwako tunywe bia (Aah)
Na tukae mpaka morning
Nakutania-tania (Aah)
[Chorus]
Na nikuambie ukweli tu
I-I-I need you
Baby nikuambie ukweli tu
I-I-I need you
Ah nanikuambie ukweli tu
I-I-I need you
Baby nikuambie ukweli tu
I-I-I need you
Written by: Juma Mussa Mkambala, Raymond Boniface Maziku, Salmin Kasimu Maengo, Sharif Said Juma