Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nandy
Nandy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Kimambo
Kimambo
Producer

Lyrics

Chocolate kalambaje? Na hata sielewi kanipata-pata
Kwani kanipata aje? Ameniweza-weza nimenata-nata
Kwa jinsi nakupenda na nnashindwa kukukataa, ndo ujinga huo
Umeniweza-weza, umenipa limbwata, ndo nini hivyo
Ukinipaga penzi basi pia zima data, ndo chips hizo, na vinyama-nyama pilipili washa ndo tamu hivo
(Baby walahi) Do me, do me, do me, do me, do me, do me
Naandaa kiberiti niwashe moto, baba leta ukuni
(Do me aii) Do me, do me, do me (Do me aii), do me, do me, do me (Do me aii)
Naandaa kiberiti niwashe moto, baba leta ukuni (Do me aii)
Nafikiri uliumbwa kwa ajili yangu mahususi, na kila nikikutazama nafaa nifikirie harusi
Nafikiri kutumia shela, nafikiri kuhusu suti, sifikirii kutumia kinga, hata waseme una virusi
Viuno vingi kama Christian Bella, Peace ya msela, African princess na ndela
Tutawaarika na mapunga waje kula mchele, si wanatoa siri za nyuma twawapa siti za mbele
Mapigo ya moyo mama yanakwenda mbio, nisamehe kama napokwenda sio
Mapigo ya moyo mama yanakwenda mbio, nisamehe kama napokwenda sio
Zile kata, kata ukapinda mgongo, uliposema tangu ukawachanganya wabongo
Vile sikupakii mkenya wala sikupakii mkongo, labda arushe matofali maana nishazoea madongo
(Do me aii) Do me, do me, do me (Do me aii), do me, do me, do me (Do me aii)
Naandaa kiberiti niwashe moto baba leta ukuni (Do me aii)
True tell me ma, true tell me ma, navurugwa eh, navurugwa eh
True tell me ma, true tell me ma, navurugwa eh, navurugwa eh
Do me aii, do me aii, do me aii
(Do me aii) Do me, do me, do me (Do me aii), do me, do me, do me (Do me aii)
Naandaa kiberiti niwashe moto baba leta ukuni (Do me aii)
True tell me ma, true tell me ma, navurugwa eh, navurugwa eh
True tell me ma, true tell me ma, navurugwa eh, navurugwa eh
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga
instagramSharePathic_arrow_out