Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kusah
Kusah
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
SALMIN ISMAIL HOZA
SALMIN ISMAIL HOZA
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Bonga De Alpha
Bonga De Alpha
Producer

Lyrics

Nikikuona nanyamaza hata kama nilikua nalia
Macho unayapumbaza
Raha zinazidi nalia
Upepo utoke magharibi
Yani uvume pwani ama bara
Hizi raha zanizidi
Mimi huba lako latawala
Nataka nitangaze kwa redio na
Nataka wasikie na wenzio
Penzi lako lanipeleka mbio na
Baby wewe kichwa mi sikio
Nataka nitangaze kwa redio na
Nataka wasikie na wenzio
Penzi lako lanipeleka mbio na
Baby wewe kichwa mm sikio
Ukizidisha utaniua
Walahi utaniua
Ukizidisha utaniua
Walahi utaniua
Oooh baby leo pombe na muziki
Maisha yetu sio ya Kiki
Wasitingishe kibiriti
We ni show unavyoshow penzi letu ni mchongo
Mmmmh
Usiwape hata uso wape mgongo
Mmmmh
Nataka nitangaze kwa radio na
Nataka wasikie na wenzio
Penzi lako lanipeleka mbio na
Baby wewe kichwa mi sikio
Nataka nitangaze kwa redio na
Nataka wasikie na wenzio
Penzi lako lanipeleka mbio na
Baby wewe kichwa mi sikio
Ukizidisha utaniua
Walahi utaniua
Ukizidisha utaniua
Walahi utaniua
Written by: SALMIN ISMAIL HOZA
instagramSharePathic_arrow_out