Top Songs By Tommy Flavour
Credits
PERFORMING ARTISTS
Alikiba
Vocals
Tommy Flavour
Performer
Lyrics
[Verse 1]
Oh Baba, oh Baba
Naomba niongoze
Oh Jah-Jah, oh Jah-Jah
Nitakufata nisipotee
[Verse 2]
Kwenye mabalaa umenipitisha aah
Kwenye shida na njaa umenilisha
Wakitaka niende chini wanipandisha
Mapenzi yako siwezi kufananisha
[Chorus]
Bora nikushukuru (Uuh)
Acha nikushukuru yeah (Uuh)
Bora nikushukuru (Uuh)
Acha nikushukuru yeah (Uuh), Babaa, Baaba
[Verse 3]
Oluwa o Jah-Jah, wanijua kiundani
Ukinilinda maishani
Sikulipi chochote yeah, sifuati yako yote
Ila bado hujaniacha uko na mimi
[Verse 4]
Kwenye mabalaa umenipitisha ah
Kwenye shida na njaa umenilisha
Walitaka niwe chini ukanipandisha ah
Mapenzi yako siwezi kufananisha
[Chorus]
Bora nikushukuru (Uuh)
Acha nikushukuru yeah (Uuh)
Mi bora nikushukuru (Uuh)
Ooh acha nikushukuru yeah (Uuh)
[Bridge]
Jah-Jah, Jah-Jah (Jah-Jah)
Oh Jah (Jah-Jah), oh Jah-Jah, oh (Jah-Jah)
Acha nikushukuru (Jah-Jah)
Oh yes (Jah-Jah), acha nikushukuruu (Jah-Jah), eeh Jah-Jah
[Chorus]
Acha nikushukuru
Acha nikushukuru yeah (Jah-Jah)
Acha nikushukuru (Ooh, ooh wah)
Acha nikushukuru yeah
Acha nikushukuru
Acha nikushukuru yeah
Acha nikushukuru
Acha nikushukuru yeah