Top Songs By Nadia Mukami
Credits
PERFORMING ARTISTS
Nadia Mukami
Performer
Wendy Shay
Performer
Phina
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nadia Mukami
Songwriter
Lyrics
Yeah
The melanin queen, yeah
Bomboclat, mmh
Hivi tuseme alijisahau
Ama alijiona ameshapanda dau
Maneno maneno ya nahau
Yakazidi, na mi mtu sio nyau
Hakujua nini tofauti
Baina ya mjinga na mpole, ooh
Hadi saluti
Nikapiga nikisema sorry
Kukuombea mema ni uongo
Walahi nakuombea upate chongo
Ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
Hadhi yangu kubwa sana, si mimi kuwa mdondoo
Hatuwezi kulingana kauli, hata matendo tu
Kwaheri ya kuonana, leo nalivua pendo
Byebye, bye bye, bye bye, mwanakwenda bye bye
Byebye, bye bye, bye bye, mwanakwenda bye bye
Byebye, bye bye, bye bye, sikudai bye bye
Byebye, bye bye, bye bye, hunidai bye bye
Oh oh, bye bye mwanakwenda ah
Ah ah, sikatai nilikupenda ah
Uoga wa kunguru, kuzilinda mbawa zake
Kikubwa uhuru, tajiri na mali zake
Hello from the other side
And I feel so bad
Kukuombea mema ni uongo
Walahi nakuombea upate chongo
Ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
Hadhi yangu kubwa sana, si mimi kuwa mdondoo
Hatuwezi kulingana kauli, hata matendo tu
Kwaheri ya kuonana, leo nalivua pendo
Byebye, bye bye, bye bye, mwanakwenda bye bye
Byebye, bye bye, bye bye, mwanakwenda bye bye
Byebye, bye bye, bye bye, sikudai bye bye
Byebye, bye bye, bye bye, hunidai bye bye
Written by: Nadia Mukami