Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Adam Berry
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Adam Berry
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Yogobeats
Producer
Lyrics
Najiuliza yana nini mapenzi kila nifanyalo ubaya
Nang’ang’ana sipendwi tena naonekana mbaya
Yananinyima usingizi wapi nakoseaga mbona ah
Tena najitahidi kwenye mapenzi kila kona
Ama mii nina uzamani gubu la ujanani ndo naonekana sio
Nikijituliza abadani sielewi kunani nakosa na tulio
Mi sijivungi kwa kudhani ntapata amani naambulia kisusio
Fundi nikishika usukani siwi ka rubani penzi mwendo sio mbio
Ama naponzwa na huruma eeh
Noma noma noma
Yamenifanya nikomae
Noma noma noma
Hata sielewi kunani inauma roho
Nshakuwa fisi mbugani nisie na makali mmh
Sina fungu la mapendo na nikijaliwa natapatapa
Penzi fungu la magendo ukiijua siri ni takataka
Labda mi sio fashion oh
Suruali nisiefiti ooh
Penzi kiuno kipana oh
Hali tete ooh
Ama mii nina uzamani gubu la ujanani ndo naonekana sio
Nikijituliza abadani sielewi kunani nakosa na tulio
Mi sijivungi kwa kudhani ntapata amani naambulia kisusio
Fundi nikishika usukani siwi ka rubani penzi mwendo sio mbio
Ama naponzwa na huruma eeh
Noma noma noma
Yamenifanya nikomae
Noma noma noma
Written by: Adam Berry