Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Adam Berry
Adam Berry
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Adam Berry
Adam Berry
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Vampire
Vampire
Producer

Lyrics

The day i saw you
En i say you go my buuh
Kuwa maishani mwangu tu
Unamaniisha vingi hujui tu
Na something that you dont know
Baada ya kuwa nawe imekuwa raha tu
I feel crazy
Unavyonijali na ela za upatu
What i can do for you bebe
Na you make my life bila stress
Acha shida zako nizibebe
The way you love me baby lemi confes
Mii nataka nishee nawe mapenzi yangu na ujana
nataka tufike kule wasikodhani inawezekana
My baby my ginger
Wazi umeumbwa kwaajili yangu mimi
I never face any danger
Since i met you mwangu maishani
Mababy haufosi,
Umenijaa mpaka kwa utosi
Chochote kwako yes
Anything you want tutapambana
What i can do for you bebe
Na you make my life bila stress
Acha shida zako nizibebe
The way you love me baby lemi confes
Mii nataka nishee nawe mapenzi yangu na ujana
nataka tufike kule wasikodhani inawezekana
Written by: Adam Berry
instagramSharePathic_arrow_out