Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Adam Berry
Adam Berry
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Adam Berry
Adam Berry
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Plumber
Plumber
Producer
Goldenfingers
Goldenfingers
Co-Producer

Lyrics

Wakituona tunapost picha wanacomment huku wanaponda
Nyoyo zao za kujificha ficha,kaa hawajaumbwa wamechongwa.
Sikamilishi sentensi nsipokuona kwa macho
Ukiwepo vingine sio kesi maana we ndo nitakacho
Wallah you got my feel naenjoy na my soul
Dunia naona ya wawili tupitapo kila uchochoro
am so happy and enjoying i dont wanna be solo
Wanasema furaha ipe siri, nkikukosa ntaja kuwa kolo
Asa show me the way you love me
Bebe make some dance for me
i see something on you, if you far i go find you
Anayeniendesha ni wee tuu
Usemacho mi sawa tuuu
Ntaishi vipi without you,evytime i think about you
Ntaja kuchekwa na watuu
Tulilinde penzi letu
Wamechina wamechina wanakondoa vile twashinda
Kidogo chetu kinawatoa roho waone sura zilivyopinda
Wallah you got my feel naenjoy na my soul
Dunia naona ya wawili tupitapo kila uchochoro
am so happy and enjoying i dont wanna be solo
Wanasema furaha ipe siri, nkikukosa ntaja kuwa kolo
Asa show me the way you love me
Bebe make some dance for me
Written by: Adam Berry
instagramSharePathic_arrow_out