Lyrics

Wana-commenti, Insta, Twitter nawacheki, wanadai mtaachana tu
Wana-commenti, Chibu na Zari wali-date, ata nyinyi pia mtaachana tu
Omuwano, kuni na munji, hegu simunange, dada ukoze bingi
Sura ya mama urembo kwa face, nilikutafutanga aah kama shilingii
Ombi la kwangu niahidi mi nawe milele, sije tengana yashinde maneno ya wale wanaosema
Mtaachana tu, achana tu, mtaachana tu, achana tu
Mtaachana tu, achana tu, mtaachana tu, achana tu
Shukrani watoto umenipa warembo, ka we mama yao
Na bado una joto la mimba, na we mama lao
Naona mitusi ya Insta na Twitter, ni kawaida yao
Amekukinga Mungu jamani, na maneno yao
Hisia zangu nakupa (Nibebebe), na moyo wangu (Upepete)
Siri zangu nitunzie, (My one and only)
Hawajui tuliumbiwa pamoja, mi' nawe mtu mmoja, niite (Adamu wewe Hawa)
Mtaachana tu, achana tu, mtaachana tu, achana tu
Mtaachana tu, achana tu, mtaachana tu, achana tu
Mara wanasema yaliyopita ulikuwa na yule
Wanatamani nikwache usogee wakule
Na watangoja sana, ah sana
Hadi kifo, hatutaachana tu
instagramSharePathic_arrow_out