Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Tommy Flavour
Tommy Flavour
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Tommy Flavour
Tommy Flavour
Songwriter

Lyrics

Hivi umeshushwa, maana uko bie bomba, na nimesitushwa na utamu peremende, ulio na-ao
Mapenzi kikubwa unayonimwagia ni raha sana mama-mama-mama
Na leo nikifa nibaki jirudia, ni take over, ni take over, your mind eeh
Unanipress, unanipa raha no stress, kukuvesha shenga sogezi, tuombe Mungu abless
Beiby you are princess, nikoshe smile on your face, na tuombe kwa Mungu, nizikwe na wewe daima
Omukwano o (Aah-aah-aah), naenjoy (Aah-aah-aah), penzi lako o (Aah-aah-aah) niko hoi (Aah-aah-aah)
Mukwano o (Aah-aah-aah), naenjoy (Aah-aah-aah), penzi lako o (Aah-aah-aah) niko hoi (Aah-aah-aah)
Omukwano oo, omukwamo oo, omukwano oo, omukwamo oo yea-yeah, yeaah
Mzima mzima kama chatu nimeze beiby, nichange kama pesa ya patu ni-make-make
Oo sinyora (Sinyora ee), nitakuoa (Nitakuoa), usijali vile vimaskatu we uko na mimi
Ooh, unanipress eyy, unanipa raha no stress, kukuvesha shenga sogezi, tuombe Mungu abless
Beiby you are princess I'm put a smile on your face, na tuombe kwa Mungu, nizikwe na wewe daima
Omukwano o (Aah-aah-aah), naenjoy (Aah-aah-aah), penzi lako o (Aah-aah-aah) niko hoi (Aah-aah-aah)
Mukwano o (Aah-aah-aah), naenjoy (Aah-aah-aah), penzi lako o (Aah-aah-aah) niko hoi (Aah-aah-aah)
Omukwano oo, omukwamo oo, omukwano oo, omukwamo oo, oo
Nitakupenda nitakulinda, mi nawe, oh my baby mimi nawe 'cause I got you
Nitakupenda nitakulinda, mi nawe, oh my mama-mama-mamama iyee
Written by: Ali Saleh Kiba, Tommy Flavour
instagramSharePathic_arrow_out