Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bruce africa
Bruce africa
Remixer
COMPOSITION & LYRICS
Korede Bello
Korede Bello
Songwriter
Bruce Elias Sanane
Bruce Elias Sanane
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Imenifika kwa koo,
Inanibidi niseme ndipo nipone
Pale ulipo babe nipe location nisogee
Nije nikuone
[Verse 2]
Ikishindikana basi
Nitumie video zako za Snapchat
You know I like that
Nimekumiss sana macho yakutaka
Videocalls hata, muda ukipata
nitafurahi nikikuona mwanadada
[PreChorus]
Your my angel my queen
Unachotaka mi sikatai
Juu Ni upendo my dear
Unaonipa mi sikinai
[Chorus]
You're my angel my queen
Unachotaka mi sikatai
Juu Ni upendo my dear
Unaonipa mi sikinai
[Bridge]
I miss you (Eeh)
Nakumiss vibaya baby (Yeah)
I miss you baby, yeah
Nakumiss vibaya, baby
[Verse 3]
Utani-utani wako na michezo hunikosha
Fanya uridi upweke utasema tesa babe
Uwepo wako kwangu unanitosha (Babe)
Do you miss me, eh
Au mimi, babe
Hukumiss daily, yeah
Daily, daily
Im so crayz, yeah
For your love im cryz, baby
Nakumiss daily, yeah
Daily, daily
[PreChorus]
Your my angel my queen
Unachotaka mi sikatai
Juu ni upendo my dear
Unaonipa mi sikinai
[Chorus]
You're my angel my queen
Unachotaka mi sikatai
Juu Ni upendo my dear
[Outro]
I miss you (Eeh)
Nakumiss vibaya baby (Yeah)
I miss you baby, yeah
Nakumiss vibaya, baby
Written by: Bruce Elias Sanane, Korede Bello
instagramSharePathic_arrow_out