Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ali Mukhwana
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Ali Mukhwana
Songwriter
Ali Mukhwana Akhonya
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ali Mukhwana
Producer
Douglas Otiga
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Pamoja na wewe, pamoja na wewe
Katika safari yangu, ntatembea na wewe
[Chorus]
Pamoja na wewe, pamoja na wewe
Katika safari yangu, ntatembea na wewe
Pamoja na wewe, pamoja na wewe
Katika safari yangu, ntatembea na wewe
[Verse 2]
Bwana uu sehemu yangu, rafiki yangu wewe
Katika safari yangu, ntatembea na wewe
Bwana uu sehemu yangu, rafiki yangu ni wewe
Katika safari yangu, ntatembea na wewe, pamoja na wewe
[Chorus]
Pamoja na wewe, pamoja na wewe
Katika safari yangu, ntatembea na wewe
Pamoja na wewe, pamoja na wewe
Katika safari yangu, ntatembea na wewe
[Verse 3]
Mahali hapa sikutaka, ili niheshimiwe
Na haya ni kutema shaka, sawasawa na wewe
Mahali hapa sikutaka, ili niheshimiwe
Na haya ni kutema shaka, sawasawa na wewe
[Chorus]
Pamoja na wewe, pamoja na wewe
Katika safari yangu, ntatembea na wewe
Pamoja na wewe, pamoja na wewe
Katika safari yangu, ntatembea na wewe
[Verse 4]
Niongoze safarini, mbele unichukue
Mlangoni mwa binguni niingie na wewe
Niongoze safarini, mbele unichukue
Mlangoni mwa binguni niingie na wewe
[Chorus]
Pamoja na wewe, pamoja na wewe
Katika safari yangu, ntatembea na wewe
Pamoja na wewe, pamoja na wewe
Katika safari yangu, ntatembea na wewe
[Chorus]
Pamoja na wewe, pamoja na wewe
Katika safari yangu, ntatembea na wewe
Pamoja na wewe, pamoja na wewe
Katika safari yangu, ntatembea na wewe
Written by: Ali Mukhwana, Ali Mukhwana Akhonya