Music Video

Kayumba Ft Nadia Mukami BOMBA (Era Tunez Beats FT RAMOS) 2022
Watch Kayumba Ft Nadia Mukami BOMBA (Era Tunez Beats FT RAMOS) 2022 on YouTube

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kayumba
Kayumba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nadia Mukami
Nadia Mukami
Songwriter
Ismail Juma Mandoti
Ismail Juma Mandoti
Songwriter
Thabiti Janati Mango
Thabiti Janati Mango
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Thabiti Janati Mango
Thabiti Janati Mango
Producer
Independent artist
Independent artist
Producer
TML
TML
Producer

Lyrics

Bombaa-bombaa hiyo, bombaa
Yake nyama bila mfupa mie nameza, akinipa sita sita mie ntaweza
Akipandisha na mori nalegeza, haya mapenzi Kayumba umekoleza
Chuchumaa unibonde unipe moyo, uniteke mimi toto la Nairobi
Kaja na Makonde waone choyo Insta tuwakomeshe na yetu kiki
Hata akifumania powa tu (Powa tu), hata nikule fare powa tu (Powa tu)
Mi nang'ang'ania powa tu (Powa tu), ndo nishajifia powa tu (Powa tu)
Chuma kwa chuma namwaga cheche (Powa tu), mwenzenu napewa weka tu weke (Powa tu)
Nikimuona napata kidete (Powa tu) uoo uoo uoo (Powa tu)
Natamani nikatongoze mara ya pili apo vipi (Bombaa-bomba hiyo)
Anitilie limbwata akologe akili apo vipi (Bombaa-bomba hiyo)
Apo vipi (Bombaa-bomba hiyo), ipo vipi (Bombaa-bomba hiyo)
Eh bwana vipi (Bombaa-bomba hiyo), vipi (Bombaa-bomba hiyo)
Shery baby mama sherioo anipa kazi moto mwinyi kazioo, ndani joto sitaki feni ooh, aninogesha na vyake vilio
Mapenzi hayana nunda, Uchebe kaowa Igunga (Uchebe kauowa Igunga)
Penzi pepo la kimbunga, likichanganywa na Ndumba
Hata nikimfumania powa tu (Powa tu) Waseme nina mu-under fear Powa tu (Powa tu)
Mi nang'ang'ania powa tu (Powa tu), ndo nishajifia powa tu (Powa tu)
Chuma kwa chuma namwaga cheche (Powa tu), mwenzenu napewa weka tu weke (Powa tu)
Mi nikimuona napata kidete (Powa tu) uoo uoo uoo (Powa tu)
Natamani nikatongoze mara ya pili apo vipi (Bombaa-bomba hiyo)
Anitilie limbwata akologe akili apo vipi (Bombaa-bomba hiyo)
Apo vipi (Bombaa-bomba hiyo), ipo vipi (Bombaa-bomba hiyo)
Eh bwana vipi (Bombaa-bomba hiyo), vipi (Bombaa-bomba hiyo)
Bombaa-bomba hiyo
Written by: Ismail Juma Mandoti, Nadia Mukami, Thabiti Janati Mango
instagramSharePathic_arrow_out