Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Kayumba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ismail Juma Mandoti
Songwriter
Yonah K. Abdallah
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Independent artist
Producer
TML
Producer
Lyrics
VERSE 1
(Nimebadili nimeshindwaa )
Nimebadili nimeshindwaaah wapi ntaweka sura yangu,, Samaki mbichi nimesahau kumpindaa Amejiludi imekuwa Asara kwangu,,,
Oooohhhhh Asidi Asidi anasababu hata akisingizia laaazizi mkaidi hatafaidi labda siku za Bia
Naji force nisikate tamaa yakupenda japo inaniuma aaahhhh kinachoniuma Muda muda nimepoteza we Habari haunaa
(Akaah) yakanizidi Nilipozama bwibwibwi
Limenyauka walidi kwa kumwagiwa Acid
CHORUS
mapenzi yanauma aaah aaahh x4
VERSE 2
Bora ungekuwa mkanda wa DvD Nyuma ningerudisha
Ulinifanya siambiliki sisikii yani ukanivilingisha(mmmmh mmmh mhhh)
Nimeamini Mapenzi kuna Namna yameungana na nyama, Hisia zanipelekea siwezi Kumbu kumbu zagandamana
Naji force nisikate tamaa yakupenda japo inaniuma aaahhhh kinachoniuma Muda muda nimepoteza we Habar haunaa
(Akaah) yakanizidi Nilipozama bwibwibwi
Limenyauka waridi kwa kumwagiwa Acid
CHORUS
mapenzi yanauma aaah aaahh x4
Written by: Ismail Juma Mandoti, Yonah K. Abdallah