Top Songs By Bonge La Nyau
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Bonge La Nyau
Performer
Q Chief
Performer
Lameck Gunda
Keyboards
COMPOSITION & LYRICS
Lameck Gunda
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lameck Gunda
Producer
Lyrics
He-he
Yeah
Nyauloso
Yeah
Oh, oh...
Oh, oh...
Aza, Aza
Mtoto wa Kariakoo
Aza, Aza, aha
Nakupa shikamoo
Aza, Aza
Uh, mtoto wa Kariakoo
Mtoto wa Kariakoo
Aza, Aza, aha
Nakupa shikamoo
Kwenu wananiita [golo]
Ukweli mi sio kolo
Mapenzi ndivyo yalivyo
Uh
Yeah, uh
Ayo, flow nazi-fix so bad
Nnavyo feel bad 'just like na play card
More motivation, more money, more play
Visa na vituko unavyofanya siongei
Ngwair 'kama Ngwair kakuita "She Got A Gwan" (Gwan)
Pozi 'mpaka pozi za Blue, ukiwa chumbani (Mbani)
Ulivyo deka, dah!
Ndio unanipa burudan (Dan)
Umenipa thamani 'kwa wengine sitamani (Man)
Mama umezaliwa Minnesota
Wanao gharamia 'unaokota
Ukirudi kwangu 'ka naota
Unavyo nitunuku 'naogopa (Yes)
Uh, mtaka nyingi hukosa [rasaba]
Usipende madingi 'utakuja kuvaba
Tulia na mimi, tuishi pamoja
Tukikosa leo, kesho inakuja
Aza, Aza
Mtoto wa Kariakoo
Aza, Aza, aha
Nakupa shikamoo
Aza, Aza
Uh, mtoto wa Kariakoo
Mtoto wa Kariakoo
Aza, Aza, aha
Nakupa shikamoo
Kwenu wananiita [golo]
Ukweli mi sio kolo
Mapenzi ndivyo yalivyo
Uh, meck
Meh-meh-, Meck
Ile love nnayo itaka
Kwako naipata
Siwezi kusaka vingine kwenye vichaka
Unavyo kata 'mpaka nadata
Kama love ni uchafu 'K/Koo zitupwe taka
Mungu akupe imani 'uzidi kunithamini
Akulinde na shetani 'ufate miongozo ya dini
Atuweke vyema duniani, mpaka tukienda chini
Kila siku furahani 'shida, raha na mimi
Mama umezaliwa Minnesota
Wanao gharamia 'unaokota
Ukirudi kwangu 'ka naota
Unavyo nitunuku 'naogopa (Yes)
Uh, mtaka nyingi hukosa [rasaba]
Usipende madingi 'utakuja kuvaba
Tulia na mimi, tuishi pamoja
Tukikosa leo, kesho inakuja
Aza, Aza
Mtoto wa Kariakoo
Aza, Aza, aha
Nakupa shikamoo
Aza, Aza
Uh, mtoto wa Kariakoo
Mtoto wa Kariakoo
Aza, Aza, aha
Nakupa shikamoo
Kwenu wananiita [golo]
Ukweli mi sio kolo
Mapenzi ndivyo yalivyo
Ch-Chiddy
Al (?)
Jacky Umeme
Uh-Huh, Amiga Tyga
Wi deh,deh
Classic
Terrano Music
(Instrumentals)
Written by: Lameck Gunda