Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Phina
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Sarah Michael Kitinga
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Ally Mohamed Juma
Producer
Lyrics
itachowaambia msiache
kumwambia na yeye ee simchukii
Laana anajipa mwenyewe
oooh noo mwambieni sijutii
kuwa mbali na ye apunguze
presha ha mwambieni si Lili
penzi lake nilisha lihitimisha
ooh hazijabaki memory Wala
kumbukumbu nishamsahau mazima
hata nikimuona nakuona Kama nungunungu
so Kama namvunjia heshima makombe amalize
ajifushe na nyungu akakoge na maji ya kisima
Ila Mimi nimeshaapa kwa mwenyezi
mungu haitojirudia daima
sitaki tena
tena mwambieni asinisumbue Mimi
sitaki tena
nipo bukheri na nafsi yangu uu
sitaki tena
abaki na zake nibaki na zangu
sitaki tena
nipo bukheri na nafsi yangu uuu
Dua zake mbaya kwangu nife
lini lipo sasa najua aa
na jua likiwaka kiza kikitanda
ananiwaza najua mwambieni
asihangaike na mipasho moyo wake
Mimi naujua aa sitaki kumdhalilisha
nikatajana Siri zake Nika muumbua as
hazijabaki memory Wala kumbukumbu
nishamsahau mazima hata nikimuona
nakuona Kama nungunungu so Kama
namvunjia heshima makombe amalize
ajifushe na nyungu akakoge na maji ya
kisima Ila Mimi nimeshaapa kwa mwenyezi
mungu haitojirudia daima
sitaki tena
tena mwambieni asinisumbue Mimi
sitaki tena
nipo bukheri na nafsi yangu uu
sitaki tena
abaki na zake nibaki na zangu
sitaki tena
nipo bukheri na nafsi yangu uuu
mwambieni sijutii kuwa mbali na yeye
apunguze presha ha mwambieni
si Lili penzi lake nilisha lihitimisha ooh
Written by: Sarah Michael Kitinga