Lyrics

Onana Nana Nana Nana eee Imuh
Baba shingo hiyo
Legeza kamba nisije nikakata roho
Mi sio muongo
Nnayosema yanatoka kweny moyo
Waaambie waambie
Waaambie kwamba ulinidanganya
Waambie wajue uliniambia mume sina
Aaah
Mi ni kijana wa kimaskini naosha magari sinza
Siku hiyo nipo kazini likaja bonge la ndinga
Ndo akashuka huyu Dada akanipa gari nioshe
Na akasema Nina haraka fanya fasta niondoke
Msinipige subiri niongee
Kweny kuosha gari zikaanza story
Nampa Majibu akinipa maswali
Tukataniana wote tukafurahi
Ndo akaniomna namba akasema atanichek baadae
Waaambie
Wambie sina makosaa
Waambie kwamba ulinidanganya
Waambie sina makosa
Sema kweli labda naweza nikapona
Waaambie sina makosa
Qul haqi mama Lau Kanna mura
Waaambie sina makosa
Sema kweli japo inaumaa
Basi kesho mapema akanipigia
Sauti tu nikamjua
Akauliza uko wap ntakupitia
Nataka mi na we kuongoea
Nikajikoki nikavaa nikapendeza
Nikaomba pafyum kwa Terrio monster
Tulivyokutana akaanza kunitongoza
Eti amejaliwa pesa amenyimwa faraja
I swear nlimuuliza unatoa wapi pesa na umri wako mdogo
Akajibu za urithi nyumban kwao wanazo
Penzi likaanza nitake nini nisipewe
Kazi nikaacha nitulie nihudumiwe
Kumbe analelewa na kigogo
Hata nilikuwa sijui
Kama ningejua toka mwanzo
Naaapa nisingekubaaliii waaambie mama mama waaambie
Waaambie sina makosa
Watakuja kuniua bure
Waambie sina makosa
Nina familia mwenzenu inanitegemea
Waaambie sina makosa
Hata mama yangu ndo Ananiangalia
Waambie sina makosa
Aaah sina makosaa aah
Mmmh mmh
Issa yambata nitetee niteee
Aaah aaah
You can call me zuzu
Written by: Ibrahim Mwambogoso
instagramSharePathic_arrow_out