Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Willy Paul
Vocals
Phina
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Willy Paul
Songwriter
Lyrics
[Chorus]
Mapenzi yetu ndo inabamba
Hii ndo inabamba
Mapenzi yetu ndo inabamba
Hii ndo inabamba
[Verse 1]
Tuliza moyo wangu baby
Tuliza nafsi yangu kweli
Twache jua na mwezi
Vyote vitumulike
Tuenjoy mapenzi, kileleni tufike
[Verse 2]
Mpenzi, bila wewe nitaugua
Naenjoy mapenzi yako, mizigo nishaituaa
[PreChorus]
Terrifying anavyoshine
Body fine, body fire gwanso
Toto fine, kanavyowine ooh
Body fine, body fire gwanso
[Chorus]
Mapenzi yetu ndo inabamba
Hii ndo inabamba
Mapenzi yetu ndo inabamba
Hii ndo inabamba
[Chorus]
Mapenzi yetu ndo inabamba
Hii ndo inabamba
Mapenzi yetu ndo inabamba
Hii ndo inabamba
[Verse 3]
Mbele mimi sioni
Bila wewe baby nakuona daily
My light every morning
Oh baby naviona daily
[Verse 4]
Pokea yako maua for you nitaua yangu roho (I swear you're my only lady)
Utakuja niua kwa yako mahaba yangu roho (I swear you're my only lady)
[Verse 5]
Ona mapenzi yetu inavobamba
Wasishindane nasi watapata pressure
Na kama ya Mitchelle na Obama
Wasishindane nasi watapata pressure
[PreChorus]
Terrifying anavyoshine
Body fine, body fire gwanso
Toto fine, kanavyowine ooh
Body fine, body fire gwanso
[Chorus]
Mapenzi yetu ndo inabamba
Hii ndo inabamba
Mapenzi yetu ndo inabamba
Hii ndo inabamba
[Chorus]
Mapenzi yetu ndo inabamba
Hii ndo inabamba
Mapenzi yetu ndo inabamba
Hii ndo inabamba
[Outro]
Pe-pendue, unicharaze kwa mapenzi
Univurugee, unicharaze kwa mapenzi
Oh baby we niue, unicharaze kwa mapenzi
Written by: Willy Paul