Music Video

Alikiba - Kadogo (Official Music Video)
Watch Alikiba - Kadogo (Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Alikiba
Alikiba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ally Salehe Kiba
Ally Salehe Kiba
Lyrics

Lyrics

Kadogo kanapenda keroro, keroro, keroro
Kadogo kanapenda keroro, kembamba kadogo-dogo kanapenda keroroo
Nikamuuliza anatoka 254, Mombasa kwa wanjanja-janja ananikosha roho
She must be there, she be-be there, wouh wo kadogo-dogo
Mnawakataka machali mnawataka mamanzi, karibuni apa (Eeh baba)
Mnawatataka mangozi mnawakata majonzi, karibuni apa (Eeh baba)
Mnawakataka machali mnawataka mamanzi, karibuni apa (Eeh baba)
Mnawatataka mangozi mnawakata majonzi, karibuni apa (Eeh baba)
Kadogo kanapenda keroro, keroro, keroro
Kadogo kanapenda keroro, kembamba kadogo-dogo kanapenda keroroo
Akaja Bongo aah, akaja-akaja bongo (Keroro)
Akitwika anayumba-yumba (Keroro)
Naskia I'm in love sio kidogo
Anaweza love ananikosha, kwa vile, vile anavyodance aah, ananikosha
She must be there, she will be-be there, wouwo kadogo-dogo
Mnawakataka machali mnawataka mamanzi, karibuni apa (Eeh baba)
Mnawatataka mangozi mnawakata majonzi, karibuni apa (Eeh baba)
Mnawakataka machali mnawataka mamanzi, karibuni apa (Eeh baba)
Mnawatataka mangozi mnawakata majonzi, karibuni apa (Eeh baba)
Kadogo kanapenda keroro, keroro, keroro
Kadogo kanapenda keroro, kembamba kadogo-dogo kanapenda keroroo
Kadogo, kadogo-dogo kananimaliza, kananikosha roho, rohoo
Kadogo, kadogo-dogo, kananimaliza, nikosha roho, roho yangu weeh
Written by: Ally Salehe Kiba
instagramSharePathic_arrow_out