Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nandy
Nandy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Aai ni wewe, ubavu wangu mwenyewe
Ukifa nizikwe na wewe, nikifa uzikwe na mie
Ooh baby we ninogeshe, ninogeshe baby, baby ninogeshe
Ninogeshe, ninogeshe baby, baby ninogeshe
[Verse 2]
Makwachukwachu kushea na watu sitaki ooh baby
Boda boda yangu vipi nipande mishikaki siwezi
Basi ooh baby we ninogeshe, ninogeshe baby, baby ninogeshe
Ninogeshe, ninogeshe baby, baby ninogeshe
[Chorus]
Rahaa, raha tupu kupendana na wewe, raha tupu

[Verse 3]
Unanipaga furaha hivi
Ukiniacha utanipa jaka la roho
Nipe mimi kwengine we useme no
Mshinde ibilisi kwenye kichwa chako oh, oh, oh, oh
[Verse 4]
Mi mwenzako mkiwa baba, mkiwa wa mapenzi baba
Usinione nalia sana, nalilia mapenzi

[Verse 5]
Chochote utachonambia (Sawaa, sawaa), si nitaridhia baba
Hata ukiwa mbali nitasubiria
Basi ninogeshe, ninogeshe baby, baby ninogeshe
Ninogeshe ninogeshe baby, baby ninogeshe
[Chorus]
Rahaa, raha tupu kupendana na wewe, raha tupu
Rahaa, raha tupu kupendana na wewe, raha tupu
Rahaa, raha tupu kupendana na wewe, raha tupu
Rahaa, raha tupu kupendana na wewe, raha tupu
[Verse 6]
Tusiwe Tyson na Evanda kisa kosa (Kupendana na wewe)
Presha kupanda kushuka kisa nini (Kupendana na wewe)
Mi mwenzako nakupenda nafurahi (Kupendana na wewe)
Nivike pete ya roho isiyotoka
[Chorus]
Rahaa, raha tupu kupendana na wewe, raha tupu
Rahaa, raha tupu kupendana na wewe, raha tupu
Rahaa, raha tupu kupendana na wewe, raha tupu
Rahaa, raha tupu kupendana na wewe, raha tupu
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga
instagramSharePathic_arrow_out