Top Songs By Marioo
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Omary Ally Mwanga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
RR
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Navyojua kuteleza wala sio kuanguka
Nawe mwanadamu hujatimia utakosaje kuyumba
Wanajua umeniweza kwako siwezi furukuta
[Verse 2]
Sikutamani hii furaha wanione sikonayo
Ndomana na mie sizifuati zayo nyayo
Najivika ushujaa najivua jaka la roho
Mana upweke na mie hatuwezani
[PreChorus]
Naweka pata makosa yako yote nabonyeza na delete
Ntajisumbua kuzunguka kote ila chunga usirudie
[Chorus]
Yale yalioniumiza yakafanya mpaka nikaugua
Yale yalioniliza yaka fanya mpaka nikapungua
Yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua
Yale yalio niumizaga (Mmh)
[Verse 3]
Siunajua kwanza moja kipengele sana tuu
Mboga libwata ugali mbele shida kuzoea
Mpaka aje kujua mi napendelea tembele ndo akanichumie
Sio leo sio kesho shida kuzoea
[PreChorus]
Mapenzi matamu amani ikiangazia na hasira kuvumilia
Japo ulimwaga damu na nikaugulia bado majeraha uje uniuguze
Naweka pata makosa yako yote nabonyeza na delete
Ntajisumbua kuzunguka kote ila chunga usirudie
[Chorus]
Yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua
Yale yalio niliza yaka fanya mpaka nikapungua
Yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua
Yale yalio niumizaga (Mmh)
[PreChorus]
Moyo unakataa eti mi nawe tusiwe
Tusikubali penzi liwake taa lituzimikie
Naweka pata makosa yako yote nabonyeza na delete
Ntajisumbua kuzunguka kote ila chunga usirudie
[Chorus]
Yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua
Yale yalio niliza yaka fanya mpaka nikapungua
Yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua
Yale yalio niumizaga (Mmh)
[Outro]
Basi usiridie utaniumiza
Yanichizi
Written by: Marioo Mwanga, Omary Ally Mwanga