Lyrics

[Verse 1]
Kwa majina ni Iyanii
Tunakujua (Iyanii)
Alexis On The Beat
[Chorus]
Furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kulewa na marafiki
Furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kulewa na marafiki
[Verse 2]
Kwa sherehe tumefika
Sherehe tumefika
Kwa sherehe tumefika
Sherehe tumefika
Familia iko ndani, ndani
Wote tunajibamba
Marafiki majirani, rani
Wote tunajibamba
[PreChorus]
I am happy today (So happy)
I am happy today (So happy)
Ju sisi ni walevi (Sisi ni walevi)
Tunapenda kamnyweso (Tunapenda kamnyweso)
Sisi ni walevi (Sisi ni walevi)
Tunapenda kamnyweso, (Tunapenda kamnyweso)
[Chorus]
Furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kulewa na marafiki
Furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kulewa na marafiki
[Verse 3]
Pem-peremre (Iyanii)
Pem-pem-pem-peremren (Iyanii)
Pem-peremre (Iyanii)
Pem-pem-pem-peremren (Iyanii)
Comrades power (Power)
Comrades power (Power)
Niruhusu leo niwaite makondoo (Aii)
Skiza, ship yaani kondoo is for friend (Ship)
For better for worse yaani through hard (Ship)
Na kuanzia leo that's our relation (Ship)
Ship power (Power)
Ship power (Power)
[PreChorus]
I am happy today (So happy)
I am happy today (So happy)
Ju sisi ni walevi (Sisi ni walevi)
Tunapenda kamnyweso (Tunapenda kamnyweso)
Sisi ni walevi (Sisi ni walevi)
Tunapenda kamnyweso (Tunapenda kamnyweso)
[Chorus]
Furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kulewa na marafiki
Furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kulewa na marafiki
[Verse 4]
Aii-ih
Mnanibamba mbaya, ah wote
Tiki (Taka) Tiki (Taka) Tiki (Taka)
Tiki (Taka) Tiki (Taka) Tiki (Taka)
[Chorus]
Furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kulewa na marafiki
Furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kulewa na marafiki
Written by: Ian Oure Okwemba
instagramSharePathic_arrow_out