Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Billnass
Billnass
Performer
Nandy
Nandy
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
William Nicholas Lyimo
William Nicholas Lyimo
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Kimambo
Kimambo
Producer

Lyrics

[Intro]
Hadijah na wapare nyumbani kwenu (Yeah)
Washone na visare nyumbani kwenu
Chupa limeanguka na chai au sio
Mmh yeah!
[Verse 1]
Ntacheza rumba natacheza chakacha
Jua penzi lako tu usije ukaniacha
Maskio nisha fumba na macho na papasa
Sioni kwako unipelekapo nafuata
Honey
Usije nipa kilio
Si unajuuwa mwenzako kwako taabani
Usifanye marudio
Ale matakeo kama zamani
Eeh nipoze, niliwaze, unilize kama zeze
Nikupoze ujiliwaze panapo kosa unieleze
[Chorus]
Bye yai yai bye
Usije ukasema
Bye yai yai bye
Kukukosa sitaweza
Bye yai yai bye
Usije ukasema
Bye yai yai bye
Bye bye bye bye bye
[Verse 2]
Billnass billnass
Wakikuuliza ka una boy
Waambie mi ndio friend sasa
Kigoma mwisho rail mi ndio stendi apa
Page za udaku wa mjini tunatrend haswa
Na saa hivi ukona ki belly utaniletea pacha
Wazee wako, wazee wangu
Watasema wewe ni mali yangu
Sa siwezi lala peke yangu
Majirani wanajuwa we una moyo wangu
Nime amini utamu wa pipi ni mate
Okay waiter leta glass ni kate
Alafu Dj weka mziki tuwake
Na ukipiga mangoma mwisho na habib yake
Walidhani natania
Mashem shem shem wamenipania
Na bado wakanigandia
Nikichek chek nitakuharibia career
[Chorus]
Usije ukasema
Bye yai yai bye
Mi kukukosa sitoweza
Bye yai yai bye
Usije ukasema
Bye yai yai bye
Bye bye bye bye bye
[Chorus]
Usije ukasema
Bye yai yai bye
Mi kukukosa sitoweza
Bye yai yai bye
Usije ukasema
Bye yai yai bye
Bye bye bye bye bye
[Outro]
Hadijah na wapare nyumbani kwenu (Yeah)
Washone na visare nyumbani kwenu
Umekuwa wangu na hauto rudi kwenu
Waambie mashangazi me ndo mkwe wenu
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga, John Kimambo, William Nicholas Lyimo
instagramSharePathic_arrow_out