Top Songs By Meja Kunta
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Meja Kunta
Lead Vocals
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Abdul Juma
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Banny Music
Producer
Venja
Producer
Lyrics
[Intro]
Ooh, ooh wanga wabaya
Ooh, ooh wabaya
Ooh, ooh wabaya
Ooh, ooh wabaya
Ooha
Aah
Wabaya hao (Burn music)
[Chorus]
Wanga wabaya, kweli wabaya
Wanga wabaya
[Verse 1]
Ukiwa nacho watakuroga wanga
Ukiwa huna watakuroga wanga
Ukipata pesa watazusha unadanga
Wakati mwenyewe umejichanga
[Chorus]
Wanga wabaya, kweli wabaya
Wanga wabaya
[Verse 2]
Hata mimi yalinikuta
Nikasingiziwa nimekufa
Mama yangu alilia sana
Ooh huruma mama
[Chorus]
Wanga wabaya hao
Kweli wabaya
Wanga wabaya
[Verse 3]
Mbona wana mambo meusi
Nikiposti picha wanacomment matusi
Nikikonda tu una virusi
Wana roho za kenge mixer mijusi (Mscheew)
Mama wabaya
[Chorus]
Kweli wabaya
Wanga wabaya
[Verse 4]
Labda nami nifanye kipi kizuri waja
Niwe rafiki wa kila mja
Iwe furaha inishinde husta
Haya yapite mengine yaja
[Verse 5]
Wanga wabaya hao
Kweli wabaya
Wanga wabaya
[Verse 6]
Unamtaka kwio
Una hela kwio
Eti una dola kwio
Nenda ukalale kwio
Kwiyo yoyoiyo kwio
Kwiyoyo kwema kwio
Wewe acha wee piga kelele kwa kwio wake wewe
[Verse 7]
Basi container muda wa kudanga (Danga)
Nitafutie madanga (Danga)
We muda wa kudanga (Danga)
Nitafutie madanga (Danga)
Basi sina muda wa kudanga (Danga)
Nitafutie madanga (Danga)
We muda wa kudanga (Danga)
Nitafutie madanga (Danga)
[Verse 8]
Anavyokatika mi mwenzenu naona jau
We bonge munene utasema kimbao-mbao
Anavyokatika mi mwenzenu naona jau
We bonge munene utasema kimbao mbao
Anakata (Kimbao mbao)
Anakati (Kimbao mbao)
Anakata (Kimbao mbao)
Anakati (Kimbao mbao)
Anakata (Kimbao mbao)
Anakati (Kimbao mbao)
Anakata (Kimbao mbao)
Anakati (Kimbao mbao)
[PreChorus]
Basi ndinda na bingwa wa kudanga hata kwako huna
We bingwa wa kudanga hata kwako huna
Dada unaringa una chura kumbe la kichina
Unaringa una chura kumbe la kichina
[Chorus]
Na tipi-tifua tetema (We tetema)
We tetema (We tetema)
Basi na twende tetema (We tetema), we tetema
Basi kidogo tetema (We tetema), we tetema
Na tifua-tifua tetema (We tetema), we tetema
Meja ngoja kwanza, ngoja kwanza
[Outro]
Twende kuku kishingo, we kishingo
Twende kuku kishingo, we kishingo
Twende kuku kishingo, we kishingo
Wahuni kuku kishingo, we kishingo
Written by: Abdul Juma