Music Video

Gachi B Ft Baddest 47 x Whozu Itajulikana official video
Watch Gachi B Ft Baddest 47 x Whozu   Itajulikana official video on YouTube

Credits

PERFORMING ARTISTS
Gachi B
Gachi B
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Gachi B
Gachi B
Songwriter
Whozu
Whozu
Songwriter
Baddest 47
Baddest 47
Songwriter

Lyrics

BADDY!!
Champion boy
Eyoo gach b
Yezzeman yezze yezze
Whozuuu!!
Yezze man yezze yezze
Omma fufumwa
Weeedeee
Itajulikana (itafahamika)
Itafahamika ( itatajulikana )
Itajulikana. (Itafahamika )
Itafahamika (itajulikana)
Itajulikana ( itafahamika)
Itafahamika ( itajulikana)
Itajulikana (itafahamika)
Itafahamika (itajulikana)
Simba na yanga nani bingwa (itajulikana)
Itafahamika
MO na mondy nani simba (itajulikana)
Itafahamika
Anakuchuna? Anakupenda? (Itajulikana)
Itafahamika
Choma kitu mbele ya defender (itajulikana)
Weeh! Itafahamika
We mwajuma doa changu
Kula sana bia zangu (itajulikana)
Ila tukifika kwangu
Io kitu apo kati mali yangu (itafahamika)
Wenye pesa hawanaga kelele
Kama kweli unakipande (itajulikana)
Kama umezoea misele na ushafika kwa mparange (itafahamika)
(itafahamika)
Itafahamika ( itatajulikana )
Itajulikana. (Itafahamika )
Itafahamika (itajulikana)
Itajulikana ( itafahamika)
Itafahamika ( itajulikana)
Itajulikana (itafahamika)
Itafahamika (itajulikana)
Ivi umenunua ama umeongwa? ( itafahamika)
Tutajua tuu
Kakuacha ndo maana unamponda ( itafahamika)
Tutajua tuu
Asa mbona we kakusave zimamoto (itafahamika)
Tutajua tuu
Au kimoja chali hupeleki moto (itafahamika)
Tutajua tuu
Itajulikana (itafahamika)
Itafahamika ( itatajulikana )
Itajulikana. (Itafahamika )
Itafahamika (itajulikana)
Itajulikana ( itafahamika)
Itafahamika ( itajulikana)
Itajulikana (itafahamika)
Itafahamika (itajulikana)
Leo ndo utajua kwamba me kichaaa (itafahamika)
Utajua ujui
Umekula vyangu alaf unanikataa (itafahamika)
Utajua ujui
Huyo mpenzi wako atakuchangia figo (itafahamika)
We unakichaaa
Kanyimwa akili amepewa zigo (itafahamika)
Assallaalleehhh!
Itajulikana
Itafahamika
Itajulikana
Itafahamika
Itajulikana
Itafahamika
Itajulikana
Itafahamika
Itajulikana
Itafahamika
Itajulikana
Itafahamika
Itajulikana
Itafahamika
Itajulikana
Itafahamika
Written by: Baddest 47, Gachi B, Whozu
instagramSharePathic_arrow_out