Music Video

Lulu Diva ft Nandy - Mtaalamu (Official Music Video)
Watch Lulu Diva  ft Nandy - Mtaalamu  (Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lulu Diva
Lulu Diva
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Lulu Abbas
Lulu Abbas
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Laizer
Laizer
Producer
LG
LG
Producer

Lyrics

[Chorus]
Yani mguu huu ni wako mtaalamu
Siachiki kirahisi leo inamwagika damu
Huu mguu huu ni wako mtaalamu
Yani kamkera kiti leo inamwagika damu
[Refrain]
Cheketu cheketu mahepee cheketu cheketu (Dawii)

[Verse 1]
Usingizi mlete, kwenye chupa unawake
Na madinga yake yote, asisumbue chochote

[Verse 2]
Kumbe alikuwa juu, upande wangu wa pili
Sio mtungi tuu jogoo wake ntampa ngiri
Kumbe alikua hajui upande wangu wa pili
Kivumbi tuu ikibidi arukwe akili
[Chorus]
Yani mguu huu ni wako mtaalamu
Siachiki kirahisi leo inamwagika damu
Huu mguu huu ni wako mtaalamu
Yani kamkera kiti leo inamwagika damu
[Refrain]
Cheketu cheketu mahepee cheketu cheketu (Dawii)
Cheketu cheketu mahepee cheketu cheketu (Dawii)
Cheketu cheketu mahepee cheketu cheketu (Dawii)
Cheketu cheketu mahepee cheketu cheketu (Dawii)
Written by: Lulu Abbas
instagramSharePathic_arrow_out