Top Songs By Marioo
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Dengula nyonga msokoto
Maana mimi nimekuja na bapa
Masha luv wee lete watoto
Wanyonyonga party za kukata
[Verse 2]
Nyumbani mimi nimechoka mavitu ya mama
Nataka dhuluma dhuluma eeh
Nipate ndogo ndogo baridi mwanana
[Verse 3]
Kama kuna nyama choma fire (Mapucho pucho)
Akikupa kwenye kona gwaya (Nyuma kwa mbele, kulia, kushoto)
[Chorus]
Wauwe! Wauwe!
Wauwe! Wauwe!
[Verse 4]
Maritili, ka dinner
Na anataka piece kama wema
Japo kitu kama mkono, mkono
Ata kwenye giza ndo kudema
[Verse 5]
Mama mama jishikilie
Nabadilikia kilimani
Ooh mama mama nitilie
Kama tandoni na ukokoni
[PreChorus]
Kama kuna nyama choma fire (Mapucho pucho)
Akikupa kwenye kona gwaya (Nyuma kwa mbele, kulia, kushoto)
[Chorus]
Wauwe! Wauwe!
Wauwe! Wauwe!
[Bridge]
Alkaida!
Na kama alkaida
Alkaida!
Na kama alkaida!
[Chorus]
Wauwe! Wauwe!
Wauwe!
Written by: Marioo, Marioo Mwanga