Similar Songs
Lyrics
Ndege atachagua atue kwenye mti gani
Watu hatufanani ndani nje nje ndani
Akili kichwani ufunzwe nyumbani
Usijudge kitabu kama hujakisoma ndani
Pika na kupakua majungu weka mezani
Am drunk in love utaniimbia nyimbo gani
Radio za mbao paparazi dirishani
Habari jamani muna habari gani
(Yeeeeeeaaaaaahhhh)
iii! Umenipa nini mama wee
Cha kunifanya nisisikie
Mambo yote yale ya nje na habari
Umenipa nini mama wee
Cha kunifanya nisisikie
Mambo yote yale ya nje na habari
Mara makiki masocial media na magazeti sitaki sikia
Kwako naketi wasinipangie we ndo kipenda roho
Mara makiki mara mapress yee na magazeti
Mi sitaki yee
Kwako naketi wasinipangie we ndo kipenda roho
Watu wote wanashangaa
Wanasema najitenga
Utadhani mi sikai Dar
Am so yesterday, baby you keep me busy
Unanifanya niwe chizi
Sina muda na hadithi za viongozi wapenda kiki (kiki)
In your bedroom, in your bedroom
In your bedroom, in your bedroom
Tatu tatu zungusha ah
Tatu tatu zungusha wa
Tatu tatu samata wah
Tatu tatu waaah
Tatu tatu zungusha Ah
Tatu tatu zungusha Ah
Tatu tatu samata wah
Tatu tatu waaah
(Yeeeeeeaaaaaaahhhhhhh)
(Usalama wa taifa langu upo kwako baby, niteke)
Niteke niteke niteke niteke
Teka moyo teka moyo teka
Moyo ai
In your bedroom, in your bedroom
In your bedroom, in your bedroom
Tatu tatu zungusha ah
Tatu tatu zungusha wa
Tatu tatu samata wah
Tatu tatu waaah
Tatu tatu zungusha Ah
Tatu tatu zungusha Ah
Tatu tatu samata wah
Tatu tatu waaah
Written by: Ben Pol