Music Video

Mesen Selekta - Kinanda Ft Rayako (Official Music Video)
Watch Mesen Selekta - Kinanda Ft Rayako (Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mesen Selekta
Mesen Selekta
Chant Vocals
Rayako
Rayako
Chant Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mesen Selekta
Mesen Selekta
Songwriter

Lyrics

Mrembo mwenye haiba usoni, uzuri usio na kifani
Sauti yake ringtone, haiwezi ntoa mchezoni
Kinanda, sauti yake minor ikipanda
Kwako nimeshafika sasa ya nini kudanga
You my baby looking so well
Tuishi maisha ya raha ama dhiki its okay
Excuse me baby can i take you for a date
Kwako nimesaliti amri mateka i can say
Nimekuvisha gwanda nimekuita commander
Unafight kwa love walepale washa sanda
Nipe mama nipe mama tujenge kiwanda
Tutoe pombe zote hata wine ya kitanga
Mi najua kwamba wanaconcetrate
Nikikuacha wakunegotiate
Kwako wamengoja sana ku inishiet
Lengo lao kubwa ni kupenetrate
Mmmh, uje nikubebe mgongoni, my dear
Tucheze michezo ya utotoni, my dear
Kwa furaha untazamapo machoni, my dear
Oyaaa oya oyaaa aisee aisee
Kinanda! Mtoto sauti laini
Kinanda! Ya kutoa nyoka pangoni
Kinanda! Usiombe akiwa ndani
Kinanda! Kama ndege mwituni
Kinanda! Oooh
Kinanda! Oooh
Kinanda! Oooh
Kinanda! Oooh
Tupa shuka(tupa shuka), uje kunikanda
Hebu shika panga uje ulime shamba
Sing for me sing a song we kinanda
Ukichoka sana jilaze kwenye kibanda
Ulivyojinogesha usoni
Umewafunga midomo
Utamu wa lips zako show me
Njoo tushikane mikono
Ulivyojinogesha usoni
Umewafunga midomo
Utamu wa lips zako show me
Njoo tushikane mikono
(We umenibamba asee)
(MESEN SELEKTA)
Mmmh
Uje nikubebe mgongoni, Ma dear
Tucheze michezo ya utotoni, Ma dear
Kwa furaha untazamapo machoni, Ma dear
Oyaaa Oya Oyaaa aisee aisee
Mmmh, uje nikubebe mgongoni, my dear
Tucheze michezo ya utotoni, my dear
Kwa furaha untazamapo machoni, my dear
Oyaaa oya oyaaa aisee aisee
Kinanda! Mtoto sauti laini
Kinanda! Ya kutoa nyoka pangoni
Kinanda! Usiombe akiwa ndani
Kinanda! Kama ndege mwituni
Kinanda! Oooh
Kinanda! Oooh
Kinanda! Oooh
Kinanda! Oooh
Unanikosha unavyoonyesha cheko
Baby basi ongeza hilo cheko
Unanikosha unavyoonyesha cheko
Unanikosha unavyoonyesha cheko
Baby basi ongeza hilo cheko
Unanikosha unavyoonyesha cheko
Baby basi ongeza hilo cheko
Written by: Mesen Selekta
instagramSharePathic_arrow_out