Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Professor Jay
Professor Jay
Choir
COMPOSITION & LYRICS
Joseph Haule
Joseph Haule
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Binladen
Binladen
Producer

Lyrics

Ah kwenye mziki nilianza kabla yako, shahidi mama yako (Utaniambia nini?)
Kama bata nimekula zaidi yako, acha ngwanjala zako (Utaniambia nini?)
Kama ng'ambo tulitimba kitambo, kitambo kabla yako (Utaniambia nini?)
Mijengoni nilikuwa na baba zako, wengine mama zako (Utaniambia nini?)
Nipe heshima yangu au niichukue kwa nguvu
Nipe heshima yangu au niichukue kwa nguvu, sanaa ni kazi sio chaka la maovu
Ukiongelea nyota si kwetu sigara kali, game ina safari japo tumeitoa mbali
Mziki huu umenifanya niwe mbunge, nisimame imara mi kumi kama Maureen
Imani yangu ilinifanya nishinde, namshukuru mwenyezi na zaidi naomba unilinde
Nina siri nyingi nyeti kama taulo la gesti, ukinidelete wenzako wanarequest
Nilishasema ngoma ya watoto haikeshi, leo Jay namada nakumalizia kesi
Watoto wanavimba kama milisho amira, wanaume pisi kali mashauzi kama Jamila
20 ina maana gani kama mnapoteza dira, mziki kwetu ajira udwanzi unanipa hasira
Kwenye mziki nilianza kabla yako, shahidi mama yako (Utaniambia nini?)
Kama bata nimekula zaidi yako, acha ngwanjala zako (Utaniambia nini?)
Kama ng'ambo tulitimba kitambo, kitambo kabla yako (Utaniambia nini?)
Mijengoni nilikuwa na baba zako, wengine mama zako (Utaniambia nini?)
Kuja mnavuma na kupotea kama upepo, hiki kipaji hazina ya maisha ya kesho
Wengi mnanyea mkono usiukate bali nauosha na jua, mkikua mtajua wapi mlikosa
Mnasahau sicha cha kuku daima hakibebi mzigo, sasa vipi jina dogo tu leo mnaanza zogo
Kimya cha mziki inanuka, maneno yake yananuka, nakuonya kama una jicho la tatu ona
Chezea mshahara dogo usichezee kazi, kabla hujanisema jichoni mwako toa kibanzi
Wengi mnajiita wanaharakati kumbe waoga, kama kunguru hanenepi kwa jalala moja
Watoto wanavimba kama milisho amira, wanaume pisi kali mashauzi kama Jamila
20 ina maana gani kama mnapoteza dira, mziki kwetu ajira udwanzi unanipa hasira
Kwenye mziki nilianza kabla yako, shahidi mama yako (Utaniambia nini?)
Kama moto nimekula zaidi yako, acha ngwanjala zako (Utaniambia nini?)
Kama ng'ambo tulitimba kitambo, kitambo kabla yako (Utaniambia nini?)
Mijengoni nilikuwa na baba zako, wengine mama zako (Utaniambia nini?)
Sikubali wanitune kama remote control, now I make sure everything remains roll
Najitoa kafara nife na tai shingoni, machozi mengi machoni badala ya fedha mfukoni
Utaniambia nini?
Utaniambia nini?
Written by: Joseph Haule
instagramSharePathic_arrow_out