Lyrics

Kuna kaboy kananiitanga babe, kanatamani kunipelekaga date
Ata jana kalinipigia late, hakajui yeye sio yangu taste
Amefukuzia ananiitaga toto, anasema ananiona kama Lotto
Eti nikaribie ataniongeza joto, huruma namwonea juu itabaki ndoto
Akimwaga pesa nitalegeza, akitoa ganji nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza, lege, lege nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza, akitoa ganji nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza, lege (Legeza)
Nikitoa pesa eti utalegeza, Nadia Mukami we hukuwa umeniwezaa
Hebu bend over na ukamate meza, Nadia una haga eii imeweza
Leo ni kutesa (Vimajor), we ni black beauty wow napenda
Najua saa zingine me sinaga pesa, nakwambia nitakopa pia nitawateka
Achana na wababa, wao uhema sana, kuja kwa bazeng, nguvu za kuku manga
Nakwambia utascream uskike hadi Namanga, jua sina pesa lakini tunaeza banja (Okwonko)
Akimwaga pesa nitalegeza, akitoa ganji nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza, lege, lege nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza, akitoa ganji nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza, lege, lege, ntalegeza
Amefukuzia ananiitaga toto, anasema ananiona kama Lotto
Eti nikaribie ataniongeza joto, huruma namwonea juu itabaki ndoto
Nitalegeza, nitalegeza, nitalegeza
Written by: Nadia Mukami
instagramSharePathic_arrow_out