Credits
PERFORMING ARTISTS
Ommy Dimpoz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ommy Dimpoz
Songwriter
Lyrics
[Intro]
Churu, churu, churu, churu
Churu, churu, chururai
Churu, churu, churu, churu
Churu, churu, chururai
Churu, churu, churu, churu
Churu, churu, chururai
[Verse 1]
Nampenda kama ringtone, hana maringo
Huyu binti m'tamtam
Swagga' zake zipo simple, hapendi dingo
Haniishi hamham
[Verse 2]
Niko naye sina nyimbo, nikatoa single
Mpaka sasa nna album
Mimi mkali wa mitindo, haka iki'mingle
Kitandani mashamsham
[PreChorus]
Kila siku mi niko naye
Ila siku hizi penzi linatia fora, eh
Hata mama na papa, eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora, eh
Kila siku mi niko naye
Ila siku hizi penzi linatia fora, eh
Dem mama, dem papa, eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora, eh (Ah ah)
[Chorus]
Tukutane tena baadae, eh, ai baadae, eh
Njoo unipe tena baadae, eh, si baadae, eh
Usikose kuja baadae, eh, ai baadae, eh
Nitakungoja baadae, eh, si baadae, eh
[Bridge]
Baadae, eh eh eh
Niko naye, hey
Baadae, eh eh eh
Niko naye, hey
[Verse 3]
Unang'aa bila lotion, mkali wa fashion
Baby kama umechorwa, eh
You got a temptation, sitaki nikukose
Matajiri wakanipora, eh
Penzi langu sio boshen, usijipe question
Mimi ndiye mume bora, eh
Wananipangia mission, ili unitose
Nimemuachia Mola, eh
[PreChorus]
Kila siku mi niko naye
Ila siku hizi penzi linatia fora, eh
Hata mama na papa, eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora, eh
Kila siku mi niko naye
Ila siku hizi penzi linatia fora, eh
Dem mama, dem papa, eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora, eh (Ah ah)
[Chorus]
Tukutane tena baadae, eh, ai baadae, eh
Njoo unipe tena baadae, eh, si baadae, eh
Usikose kuja baadae, eh, ai baadae, eh
Nitakungoja baadae, eh, si baadae, eh
[Bridge]
Baadae, eh eh eh
Niko naye, hey
Baadae, eh eh eh
Niko naye, hey
[Refrain]
Raha zote kwako napata, ai napata
Umenichanganya nadata, si nadata
Raha zote kwako napata, ai napata
Umenichanganya nadata, si nadata
[PreChorus]
Kila siku mi niko naye
Ila siku hizi penzi linatia fora, eh
Hata mama na papa, eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora, eh
Kila siku mi niko naye
Ila siku hizi penzi linatia fora, eh
Dem mama, dem papa, eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora, eh (Ah ah)
[Chorus]
Tukutane tena baadae, eh, ai baadae, eh
Njoo unipe tena baadae, eh, si baadae, eh
Usikose kuja baadae, eh ai baadae, eh
Nitakungoja baadae, eh, si baadae, eh
[Bridge]
Baadae, eh eh eh
Niko naye, hey
Baadae, eh eh eh
Niko naye, hey
[Outro]
Churu, churu, churu, churu
Churu, churu, chururai
Churu, churu, churu, churu
Churu, churu, chururai
Churu, churu, churu, churu
Churu, churu, chururai
Churu, churu, churu, churu
Churu, churu (Mobenda)
Written by: Ommy Dimpoz