Music Video

Bruce Africa - Lalala ft Mordecai_dex (Lyrics Video)
Watch Bruce Africa - Lalala ft Mordecai_dex (Lyrics Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bruce africa
Bruce africa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mordecai Dex
Mordecai Dex
Songwriter
Bruce Elias Sanane
Bruce Elias Sanane
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kaniba
Kaniba
Producer

Lyrics

Lalalalalalala
Lalalalalalal
Lalalalalalala
Lalalalalalal
We ni zawadi yangu my dear,
Kila utakacho nakutafutia,
Umewazidi Kwa vyote,
Ndicho ninacho jua ,
You got my attention ,
Nikidondoka niokote,
Mdogo Mdogo nawe tulisongeshe ,
I’ll be there for you my lover,
(Ohh my lover)
Would you be there for me my lover?
(Oooohhh ooohhh ohhhh)
Na ukivaa vikuku unapendezea,
Wakisema hunifai babe me I don’t care,
Mboga zetu twaji nenepea ,
Cause we don’t mind them,
La la la la la
La la la la la
La la la la la
La la la la la
Oh my babe Sema kama umechoka nikubebe
La la la la la
Tukikosa wali tule sembe,penzi letu lisife kizembe
Everytime me look inna your eyes
Don’t know why but I feel so alive
Shawry ako sharp sharp kama wembe
Anapenda dab anapenda rap na mareggae
Turn down the lights
Wenye wivu kiwarambe
Turn up di vibes
Kwenye meli mi ndio captain
Kitu polite baby wacha zitubambe
Ushanijazz na ndio maana niko certain
Zawadi ya roho
Skiza flow
Ten by ten hio ni soo
Never keep it on the low
Better know dat
Ka ni doo tutablow
Sikaze roho
Gimme more juu
Hakuna kasoro
Ya kuzone out
Kwa horizon
You are di antidote and di poison
Kwanza ukisonga na hio motion
Ni kama ulimix love potion
Love confession
La la la la la
La la la la la
La la la la la
La la la la la
Oh my babe Sema kama umechoka nikubebe
La la la la la
Tukikosa wali tule sembe,penzi letu lisife kizembe
Kwa horizon
You are di antidote and di poison
Kwanza ukisonga na hio motion
Ni kama ulimix love potion
Love confession
Written by: Bruce Elias Sanane, Mordecai Dex
instagramSharePathic_arrow_out