Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mejja
Mejja
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mejja Khadija
Mejja Khadija
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Producer Krome
Producer Krome
Producer

Lyrics

Nilikuwa nimetulia tu, nakunywa chai
Ya tangawizi nikikula tumayai
Sina noma nimetulia walai
Msupa akakuja akishout akidai
Gai, Mejja Neme Khadija
Nikajua ukiitwa na jina ya ID
Hapa kuna noma moja imelipuka!
Who is this?
Anakutumia nudes, na emoji kiss
Nikamwambia baby nadhani una-overthink
Akasema wait, kitu last week
Nilipata shati imejaa lipstick
Alafu this week unaniplay na this bitch
Akanipiga bare
So you think I’m stupid?
Nitachukua vitu zangu nikuwachie hio nyumba
Ulete hao mapoko uendelee kuwakula
Nikamwambia baby you know you’re my life
Mi ntakuoa I’m gonna make you my wife
Nikapiga magoti nikamwambia – I’m sorry
Nikaanza kulia, nikamguza roho
Akatulia nikamshow
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Aki baby nisamehe I promise you
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Aki baby nisamehe I promise
Next day nilikuwa nimetulia
Nikaskia beshte yangu amenipigia
Utakula jaba? Unaskia kuchana?
Nikamshow, pull up my brejin
(Pull up my brejin)
Mi nakula jaba tu polite
Nikapata message
Are you free tonight?
Huyu msupa amenitoa wazimu
Ni clande, moja kitu
Nikaambia beshte yangu anipeleke South B
Msupa akasema tutumie Gate B
Hapo ndio beshte yangu alishika rada
Akaniambia, Mejja nini unataka kufanya?
Ni juzi tu manzi yako alikupata
Ukamuambia kuwa player umeacha
Kabla nimjibu manzi akafungua gate
Vile amevaa, amevaa mini
Ukicheki thighs zake, hungeamini
Mpaka beshte yangu akasema anakaa fiti
Nikamwambia, eh we, we ni ka mimi
Akaniambia – Na ukishikwa, nikamjibu hivi
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
After tumekulana, sitakulana tena
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
Hii ni ya mwisho, hii ni ya mwisho
After tumekulana, sitakulana tena
Written by: Mejja Khadija
instagramSharePathic_arrow_out