Top Songs By Breeder LW
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Breeder LW
Vocals
Bien
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Breeder LW
Songwriter
Bien Alusa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Hendriks
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Wanadhani ye si bongolala
Ikikupita we bongolala
Na walosema jana haiwezifika leo
Kwa ground tunazoza
[Verse 2]
Aah jiji kuu kumewaka sana
Mabeast wanachafua rada
Alosema jana haiezifika leo
Kwa ground tunazoza
[Verse 3]
Aah hakuna mboka
Peleke shuleni watasoma
Madakitari wamegoma
Masa ni Yesu atatuponya
[Verse 4]
Mwambie punda imechoka sana
Farasi bado haijapatikana
Ni mandai wanagonya ila dai wanaponda
Wanakonda wananonaa
[Chorus]
Maandamano, maandamano
Maandamano, maandamano
Maandamano, maandamano
Maandamano, maandamano
[Chorus]
Mapambano, maandamano
Eeh maandamano, maandamano
Mapambano, maandamano
Mapambano, maandamano
[Verse 5]
Independent 60 years tuliambiwa ni self rule
Billions on billions tunaimbiwa na the same crooks
Lipa madeni hizo nido ma-excuse
Generous Z hautuwezimake the same moves
[Verse 6]
Kwa hii parliament, twende maandamano
Tribeless partyless hiyo ndio msimamo
Akili inastop protests na si bado tunamatch on
RIP to our heroes washa candles
[Verse 7]
Haki iwe ngao na mlinzi
Nionyeshe politician gani mwenye si mwizi
Sunday wako church pastor akiwabariki
Monday cheki news another scandal iso kwa TV
[Verse 8]
Kuna shuguli inatpkanga mbogi
Must go tunaimba kwa maploti
Hujengi shule hakuna madawa kwa hosi
Umejam, usijifanye hujanotice
[Chorus]
Maandamano, maandamano
Maandamano, maandamano
Maandamano, maandamano
Maandamano, maandamano
[Chorus]
Mapambano, maandamano
Maandamano, maandamano
Mapambano, maandamano
Mapambano, maandamano
[Chorus]
Maandamano, maandamano
Maandamano, maandamano
Maandamano, maandamano
Maandamano, maandamano
[Chorus]
Mapambano, maandamano
Maandamano, maandamano
Written by: Bien Alusa, Breeder LW