Music Video

Ssaru ~ Suluhu Freestyle (Official Video)
Watch Ssaru ~ Suluhu Freestyle (Official Video) on YouTube

Featured In

Lyrics

[Ssaru, Ssaru, Ssaru, Ssaru, Ssaru
Eish Vinc
Ssaru, Ssaru, Ssaru
Big shout out to Vinc On The Beat by the way
Ah, kuna fununu fununu kadhaa zimenifikia
Ndio naskia ati kuna vitu flani tunagombania
Mmeniita nimeitikia juu Papa ashawatishia
Na huyo mama nawaambia mwacheni nitawajibia
Mpeni tissue akilia, muongeze sidiria
Maana kama ananyonyesha potimi ashapapitia
Tuko na historia alafu wee ni dadangu pia
Na mi ukweli nitakuambia siogopi ukinichukia
Hii si kiki, kweli ngoma zako hufika border na hazipiti
Mlinyang'anywa title, leta hio kiti
Tunabishana vipi, leta ndume sitaki binti
Nenda kajipodoe we ni yapa na huskiki
Ako wapi Msodoki na mistari anaeza copy
Mwambie akuje na dollar maana zenu sio noti
Yuko wapi Young Lunya anazeeka na anastunya
Kama ananonoe chooni mwacheni amalize kunya
Ahh, kama si Khali basi nani ka si mimi
Hapa aliwauliza swali mnashindwa mtajibu nini
Sasa si ndio hatuogopangi, hatujifichi kwa kichaka
Ooh you can learn a thing si kwenu mko na Darassa
Mlipewa Samia, mkakosa Suluhu
So tumewakalia, watoto wa Uhuru
Naeza wapa idea, muifikishe kwa ikulu
But kwanza nawashuku, nyi hulipa ushuru?
Ssaru, Ssaru, Ssaru, Ssaru, Ssaru
Eish Vinc
Ssaru, Ssaru, Ssaru
The Beat Killer
Ahh, taka usitake si ndio tuko in charge
Ndio maana mara kwa mara tunakeep in touch
Alafu usijali if you guys lost touch
Kwеnye game mmepotеa and I did research
Sijui ni kuzembea au tumewalemea
Na sitaki nionekane na kama mi nawaonea
Naskiza diss zenu alafu nazicompare
Nashindwa ni msanii mgani wa huku kwetu nitawapea
Kaveve kazoze, huyo ni fire
Compared to hizo ngoma zenu nyi huimba za kwaya
Wakadinali ndio watu mna-require
Kubishana na wasanii wakongwe wame-retire
Yuko wapi Rapcha, attention na-capture
Mziki safari ni kama gari ilipata puncture
Fidy Q nowhere to be seen in the queue
Tuko na kiu sisi kama mafans na tuko few
Bill Nass ashapoteza nafas'
Anatupa mbao juu ya kitu imekulishwa nanas, ahh
Hio ugonjwa tunatibu very fast
And I can promise you that am a better night nurse, ahh
Bongo lala kama kawa huku mmejaza tu machawa
Mwambieni Levo Baba tukutane mkahawa
Vutieni Kontawa juu kuna dose nagawa
Kaa yee ndio champion basi haikai sawa
Ssaru, Ssaru, Ssaru, Ssaru, Ssaru
Eish Vinc
Ssaru, Ssaru, Ssaru
Big shout out to Vinc On The Beat by the way
End of lyrics
instagramSharePathic_arrow_out