Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Sailors 254
Sailors 254
Performer
Joefes
Joefes
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ced Sing
Ced Sing
Songwriter

Lyrics

Uuuuuuuuhh karuga
Piga hio subu bwana
Gurumisha hio moshogi buana
Gethideee okaaa
Mwaki kuna kitu inabaki
Na hao madem wamevamilia makhaki
Skunking moshi mbili na majani
After this tupatane magizani
Ujunkie msondo zitolewe parking
Mzieke ready ready zianze ujumping
Ka kata katanisha (katanisha)
Ka kata katanisha (katanisha)
Katanisha hio steki okota
Katanisha hio steki rombosa
Ka kata katanisha (katanisha)
Ka kata katanisha (katanisha)
Katanisha hio steki okota
Katanisha hio steki rombosa
 
Leo ni project ten nawateka
Nipate base mi nipate na mapaka
Ni mapanya tuko busy tukisaka
Hizo panya route leo tutafyeka
Nilikaspot kwenye clabu kakibanju
Body fine kakiwine kamekwachu
Kumbe kukacheki ni kabantu
Hakapendi high heels zake ni low shoes
Kwake marepeat sio one two
Nikawacha kamebleki kwani ifyuuuks
Mwaki kuna kitu inabaki
Na hao madem wamevamilia makhaki
Skunking moshi mbili na majani
After this tupatane magizani
Ujunkie msondo zitolewe parking
Mzieke ready ready zianze ujumping
Ka kata katanisha (katanisha)
Ka kata katanisha (katanisha)
Katanisha hio steki okota
Katanisha hio steki rombosa
Ka kata katanisha (katanisha)
Ka kata katanisha (katanisha)
Katanisha hio steki okota
Katanisha hio steki rombosa
 
Buda ombulu ombululu
Nikiriet naburukanga ka kunguru
Manyungu manyungu manyunguru
Unajifanya kishash na ngeus we ni kinyaru
Mbona mnanigothura kwa ndoto
Mimi shalkido kijana wa majoto
Sitambui mi huteka hadi poko
Wakiroria nina mbogi kutoka portmore
Chapanisha turi ushinde kama lotto
Manyodo manyodo juu mbokomboko
Na mogedi apewe ngafi apate joto
Ajifanye wamutheru nimkule soko
Nikumwaga chapchap kama uber za masonko arukidoo bwaaaakeeee
Mwaki kuna kitu inabaki
Na hao madem wamevamilia makhaki
Skunking moshi mbili na majani
After this tupatane magizani
Ujunkie msondo zitolewe parking
Mzieke ready ready zianze ujumping
Ka kata katanisha (katanisha)
Ka kata katanisha (katanisha)
Katanisha hio steki okota
Katanisha hio steki rombosa
Ka kata katanisha (katanisha)
Ka kata katanisha (katanisha)
Katanisha hio steki okota
Katanisha hio steki rombosa
 
Nimetoka kwa wenyewe
Nimetoka kunyandua dem wa wenyewe
Nyumba haulipi champe hebu sare
Zikiriet makejani ni mathare
Nakapin kanashikwa na mohare
Stingo mingi za kikora ni mabare
Inadi church leo ninateka nun
Hapendi dhambi anajua niko na non
Kunye paradiso lakini joh tunaburn
Fry liver leo tulikuja na pan
Ambia ezekiel ye ni fan haezi ban
Hii traki day one tunagonga laki
Mwaki kuna kitu inabaki
Na hao madem wamevamilia makhaki
Skunking moshi mbili na majani
After this tupatane magizani
Ujunkie msondo zitolewe parking
Mzieke ready ready zianze ujumping
Ka kata katanisha (katanisha)
Ka kata katanisha (katanisha)
Katanisha hio steki okota
Katanisha hio steki rombosa
Ka kata katanisha (katanisha)
Ka kata katanisha (katanisha)
Katanisha hio steki okota
Katanisha hio steki rombosa
Written by: Ced Sing
instagramSharePathic_arrow_out