Similar Songs
Credits
COMPOSITION & LYRICS
Marcus ojiambo
Songwriter
RICHARD MATHU
Songwriter
Festus Mwenda
Songwriter
Major Khadjia
Songwriter
Ken kimathi
Songwriter
Fredrick Milanya
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Niko wera prr prr nacheki messo Ig
Napiga marashi psh psh, naseti fiti hygiene
Nacheki msupa na dera na vile amebeba ka Vera
Na vile anatesa ki terror, shape namba nane Kibera
[Chorus]
Uuh aah cheza chini chini
Yuh aah cheza chini chini
Its a monday but am on a Friday vibe
Tuesday but am on a Friday vibe
Uuh aah cheza chini chini
Yuh aah cheza chini chini
Wednesday but am on a Friday vibe
Its a Thursday but am on a Friday vibe
[Verse 2]
Uhh aah Cheza chini chini
Chupa leta mbili mbili
Ni-na madem wawili wili
Na nina ganji inaniwasha ka pilipili
Who dat amedunga mini
Huddah cheki hio mwili
Mwambie sibongi lugha ingine ka si kiswahili
Na nina miti anaweza swing nae ka tumbili
[PreChorus]
Aah anapika githeri na gas
Aah anapika chapati na pas
Aah anapenda vile me na dance
Niki puff na pass, niko Khat na grass
[Chorus]
Uuh aah cheza chini chini
Yuh aah cheza chini chini
Its a monday but am on a Friday vibe
Tuesday but am on a Friday vibe
Uuh aah cheza chini chini
Yuh aah cheza chini chini
Wednesday but am on a Friday vibe
Its a Thursday but am on a Friday vibe
[Verse 3]
Mi hupenda wasupa gwangi na madiva
Mi hupenda nikiwa nyanya nimeiva
Mi hupenda nikiwa whisky uko river
Mi hupenda chafua shingo na masilver
We hupenda kupika githeri na gas
Sijui ni kuomoka ama ancestors curse
Basi ka ndo form pika chapo na pasi
Ukifika club watilie mchele wa nazi
[PreChorus]
Aah anapika githeri na gas
Aah anapika chapati na pas
Aah anapenda vile me na dance
Niki puff na pass, niko Khat na grass
[Chorus]
Uuh aah cheza chini chini
Yuh aah cheza chini chini
Its a monday but am on a Friday vibe
Tuesday but am on a Friday vibe
Uuh aah cheza chini chini
Yuh aah cheza chini chini
Wednesday but am on a Friday vibe
Its a Thursday but am on a Friday vibe
[Verse 4]
Nimelipwa Tuesday nimesave kidogo
Pesa ingine nimetumia mukuro
Pesa kiasi nimenunua stock ooh
Ile imebaki ni ya pombe na watoto (Aah aah)
Ambia Sabina ajienjoy, leo hatuendi kulewa Sabina Joy
Niko na doh ya kukunywa huko Uptown
Lakini kwanza kanuthu apo Downtown
Tunalewa na ni Tuesday
Niko na doh ya kuparty ka Furahi day
Niko busy na watoto, bariki mzinga i-slap kwa matako
Asubuhi ndo naingia kejani, kwa stairs nakutana na jirani
Wanani judge lakini sijali ju naenda kunyandua mali safi, eh!
[Chorus]
Uuh aah cheza chini chini
Yuh aah cheza chini chini
Its a monday but am on a Friday vibe
Tuesday but am on a Friday vibe
Uuh aah cheza chini chini
Yuh aah cheza chini chini
Wednesday but am on a Friday vibe
Its a Thursday but am on a Friday vibe
Written by: Festus Mwenda, Fredrick Milanya, Ken kimathi, Major Khadjia, Marcus ojiambo, RICHARD MATHU